@ExMayorUbungo Punguza hofu, mwache Mungu afanye kazi....
Mit 16:1-16ย SUV
Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu; Bali jawabu la ulimi hutoka kwa BWANA. Njia zote za mtu ni safi machoni pake mwenyewe; Bali BWANA huzipima roho za watu. Mkabidhi BWANA kazi zako, Na mawazo yako yatathibitika.
@NamdiAzikiwe We si uliambiwa kazi zote anafanyia nje ya nchi kwa sasa... Mpaka umwone kwani ushatoka nje ya nchi? Ukiwa ndani ya kitu huwezi kuona nje yake,,, na ukiwa nje ya kitu huwezi kuona ndani yake