@OpiumX_29 I thinks religious should teach young that money should not be taken by religion instead maonye should personal defence than spirituala knowledge
@Buyagali87@earadiofm Hakuna anayetumia boom vibaya kama mtu aliweza soma Kwa ada ya Mzee adi form six .Hilo boom kazi yake ndo hyo kula kunywa na kununua videsa nauli na Kodi Kwa waishio mtaani. Yeye mshahara wake ameifanyia Nini jmiii
"Hapo, yule jemedari alipoona yaliyotukia akamsifu Mungu akisema; โHakika huyu alikuwa mtu mwema. โWatu wale wote waliokusanyika hapo kwa ajili ya tukio hilo, walipoona haya yaliyotukia, walirudi makwao wakijipiga vifua kwa huzuni," Mathayo 27:47-49. Heri ya Ijumaa Kuu. Tukienzi kifo cha Yesu Kristo kwa amani, utulivu na tafakuri zenye busara.
Full ๐๐๐๐: #EPL ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ
๐๏ธ Tottenham
TOTTENHAM 0-0 WEST HAM
Derby ya London haina mbabe mpaka mapumziko katika dimba la Tottenham.
#KitengeSports