@1960Remija@PKishamba Mimi Binafsiii namuombea Prisca apateee nafas akasaifianeeee na viongoz wengneee kwenyee yanga ya wanawakeeee maaana palee n nyama ngumuuβπΎπͺπΎπͺπΎ
@FKihamu Wachanganyee na wale ambao hawajapata elimuu ya ufund kisha serikal iwahudumie for 10 years mm naaaminii hii nchii uchum utakuaa kwa kas sanaaa kutakuja technology nyingii na nzur.Hayo n machachee ninayo mengii
@FKihamu Nataman serikal ingetutengenezea project moja Kal na nzur watafuta eneo ksha wauende mji wa viwanda mbali mbali vsiwee vkubwa view vdogo na vya kat halafu kwanz wachukue cream ya vyuo vyotee vya ufund tanzania wachanganyee na wale ambao hawajapata elim ya