@mreno255 Jibu lao nina mahusiano yangu ila ya siri, hajashindwa kujibu hivyo ila amekua surprise sana na hakutegemea kuulizwa pale tena na baba levo maana wote ni circle ya Mond. Na baba levo kauliza swali tactic ili kujitoa kwa maneno ya waja kama hivi sasahivi yeye ndie anasifiwa.
@iam_Mtalicy@Therealngassa@Satobonga Achana na maelezo mengi, majiji yote duniani foleni zinaangaliwa kwenye rush hour yaani muda wa kwenda na kutoka kazini
@EsirEid Mimi sishabikii Uingereza ila nikiangalua game zao naumia sana mambo yakiwa yanawaendea vibaya sijui kwanini hiki kihali?😂😂😂 ila tajiri mna moyo sana unashikilia bomba dk 90 unataka England ashinde🫡
@fadhilikangusi Ila binadamu hivi mtu mweusi au mkristo anaweza kupata uongozi hata wa mtaa kwenye nchi nyingi za kiarabu let say Saudia, waacheni wapiganie utaifa wao aisee kibongo tuu kuna nyumba upangi kama sio dini yao
@Flyboytz26@Balyx_ Ujerumani kachukua kombe la dunia mara nne, 1954,1974,1990 na 2014 hizo interval kutoka kombe moja hadi jingine unaiona hili ni kombe la dunia chief ni baada ya miaka minne na ni upepo wa vizazi vya wachezaji nakataa hakuna excuse ya Ozil.
@Mwinshehe07 Hapa ni aidha dini moja iende motoni yote hakuna namna tukachangia pepo au jahanamu moja, kwamfano kwa makatazo utitiri kwa waislam wewe unadhani wakristo tutachomokaje,
@Wana4life@safarimlevi Unavyoweka isound tofauti eti hatuongozwi na mtu, hiyo hiyo jumuiya ambayo inafatilia mipango na maendeleo ya uislamu ndio kinachofanyika kwetu wakatoliki Vatcan chini ya papa wanasimamia hayo hayo kwa wakatoliki ila tunaongozwa na kitabu kitakatifu Biblia.
@leo_unsc@Chrisswalker18@EliabuDanford Utaenda utarudi ukitaja sehemu best ni itakua utarudi kwenye hizo nnchi za kibepari za Ulaya tena Uingerza na Ufaransa hizo nyingine zote ni chaos tuu kwa mgeni.
@leo_unsc@Chrisswalker18@EliabuDanford Kuna walala nje kibao, na bila kazi mbili tatu utoboi, kuna uelewa mwingine hapo? Hakuna anayesema USA haina mapungufu tena mengi ila ndio sehemu duniani yenye fursa za kiuchumi na harakati bora za kijamii kwa binadamu anayetaka kutumia utashi wake vzur.