@Sativa255@tanpol Hii siku nilipotazama video unaongea kujitambulisha hapo chini , niliumia sana, macho yalishindwa kuzuia machozi , Ila MUNGU ni mwema sana, Namtukuza kwaajili yako, utukufu wote na enzi ni vyake. Kwa Mwanadamu ni ngumu, ila Kwa MUNGU hakuna gumu asiloliweza.