Kuna wakati Mungu anawaondoa watu katika maisha yako kwakua amesikia mazungumzo na nia zao ovu ambazo wewe hujasikia.
Mungu anaona yale tusiyo yaona kwa macho yetu Usiumie mwache aende.
@OfficialFad18 ARUSHA: University of Arusha,
Tumaini University.
Arusha institute of account (AIA) hakina logo ya University ila kinatoa level zooote za elimu under TCU.
Arusha technical college (hakina logo ya University) ila kinatoa elimu ya chuo kikuu under TCU
Mandela University.... nk
Sala ya kuomba kupata Mtoto Mwema.
Ee Mungu uliyemwumba mwanadamu kwa sura na mfano wako, tunakuomba umba tena ndani yetu, sura na mfano wako, kwa kutujalia mtoto. Mtakatifu Rita alitamani sana watoto wake wawe waadilifu na watii, basi tunakuomba
Unapowaona akina mama na biashara zao mabarabarani, nunua. Hawatafuti pesa kwa ajili ya maisha ya kifahari, hawatafuti pesa kwa ajili ya kununua make up na madera Wanatafuta pesa kwa ajili ya kulisha watoto wao.