#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 6
Anaendelea kuongea Mhe. Lissu
Kifungu kinasema hicho cha 265(1) of CPA kinasema kama kuna haja ya kuahirishwa kwa shauri basi mahakama itaamuru mtuhumiwa apelekwe gerezani kwa siku 14.
Mahakama inapaswa kusema kwanini kesi imeahirishwa? Kila siku lazima iandike hivyo.
Naomba niwapeleke sasa kwenye hizi records za kutoka Kisutu.
Mimi nilikamatwa tar. 09/04/2025 usiku Mbinga hadi Dar es salaam usiku kwa usiku nakufika Dar es salaam niisafirishwa.
Niliwekwa pale Shimoni police central.
Tar. 10 hiyohiyo nilipelekwa mahakama ya hakimu mkazi kisutu kusomewa hili shtaka la uhaini.
The treason charge was read on 10/04/2025 pale Kisutu.
Nikapelekwa gereza la Keko hiyo tar. 10/04/2025.
Ilisema kesi itakuja tar. 24/04 tena.
Hawa majaji hawamuingilii kabisa Mhe. Lissu tofauti na kule Kisutu labda wabadilike kwenye eneo hilo huko mbele.
Ta. 24/04 wakati naenda Kisutu nilikuwa natokea Ukonga sio Keko tena.
Waliahirisha kesi siku hiyo hadi 19/05/2025 kwamba upelelezi bado.
Walisema pia upelelezi bado ikaahirishwa 02/06 na mara zote nimerudishwa gerezani na leo ni 153 siku niko gerezani.
Tar. 16/06 ikaahirishwa tena, upelelezi bado ndio sababu yao.
Tar. 01/07 nikapelekwa ikaahirishwa tena na mahakama ikasema tar. 15/07 ikaahirishwa tena walikuwa hawajajiandaaa ndio walichosema mahakamani.
Tukarudi tar. 30/07 ikaahirishwa tena na muda wote napelekwa gerezani na ninakaa na wafungwa waliohukumiwa kifo.
Tar. 13/08 tukarudi tena Kisutu ndio upande wa mashitaka wakasema wako tayari.
Ikaahirihswa tena lakini mpaka tarehe 18/08 ndio mahakama ikafanya kile kinachoitwa Commitall hearing.
Sasa Wah. Majaji imeahirishwa mara 10 kuanzia 10/04 na 18/08 mwaka huu.
Muangalie hiyo record kuanzia tar. 10 hiyo yote yaliyofanyika yako wapi kwenye hii record yako wapi?
Yaliyopo humu ni ya tarehe 18/08 tu ndio yameletwa huku mahakama kuu.
Hayo mengine yote yako wapi?
Kwanini wameficha wanaficha nini?
Kesi imeahirishwa zaidi ya mara 10 lakini kwenye hizi records hayapo kabisa.
S. 265(1) ya CPA ukiahirisha hata mara moja lazima uandike sababu za kuahirisha.
Records ziko kimya tena UKIMYA WA KABURINI.
Hazisemi chochote kuhusu hayo mengine yaliyotokea huko nyuma.
Waheshimiwa Majaji naomba niwapeleke kif. Cha 266(3) cha CPA
Amesimama KATUGA anasema Mh. Tunaona kama mwenzetu amepewa proceeding fupi tofauti na tulizonazo na sisi.
Mh. Lissu amemjibu kuwa nilichopewa ndio hicho na ndio ninachokisema hapa Mahakamani kuwa nimepewa nyaraka zinazoanzia tarehe 18/08.
Mahakama imeibua vicheko. ๐๐๐
Jaji anasema wahudhuriaji wawe watulivu tafadhali. Majaji wanaandika kidogo.
Mh. Lissu amewapa proceedings ambazo amepelekewa ili majaji nao wazipitie na kusoma kama kweli ziko sahihi au haziko sahihi.
Kimya kimetanda hapa. Hali ya hewa imeshachafuka.
Kuna wahuni nafikiri walishafanya kazi yao.
Ngoja tuone. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Majaji wanateta na kushauriana.
KATUGA yeye anazo proceedings zilizokamilika.
Halafu Mh. Lissu wamempelekea gerezani proceedings ambazo hazijakamilika.
Part 7 itaendelea kwenye post inayofuata.
Naomba repost yako kwenye tweet hii.
I asked my mentor:
โ How do I reach a caliber where women desires me and men admirers me? โ
He replied:
- Be Decisive
- Have Discipline
- Limit Your Availability
- Choose the Right Sacrifices
- Take Control of Your Mornings
I again asked โ How?โ
He replied:
KENYA: Rais mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewataka Viongozi wa Afrika kuepuka utegemezi wa misaada ya kigeni kufuatia maamuzi ya Rais wa Marekani Donald Trump kusitisha misaada ya kifedha duniani kote
Akizungumza wakati wa Mkutano wa Usalama wa Afya Kanda ya Afrika Mashariki 2025 "East Africa Region Global Health Security Summit 2025" uliofanyika Januari 29, 2025 amesisitiza Mataifa ya Afrika kupaswa kushirikiana kutengeneza mifumo ya kujitegemea ili kupata fedha za kusaidia usimamizi wa majanga na kuwa utegemezi wa kupindukia mara nyingi huzuia maendeleo ya uchumi akitaja kuwa uamuzi wa Trump ni wito wa kuamsha Viongozi wa Afrika
Soma https://t.co/7ahtqt6O9Y
#JamiiForums #JFUwajibikaji #Governance
Dadaangu nakusalimu kwa salamu ya Upendo na HESHIMA kubwa sana.
Nimefurahi kwamba hukutaka kukubali kuwa maisha Yana uwezo wa kumshinda mtu, Bali mtu anatakiwa kupambana ili afanikiwe katika Maisha.
Umekaa chini ya kivuli baada ya kutembea kwenye Jua Kali ukitafuta wateja wa kusajili laini, huku ukitafari juu ya NJAA na KIU unayoipitia. Unatamani kurudi home lkn unakumbuka kuwa ndani huna unga wala mboga kwahiyo hata ukienda huwezi kupika. ๐
Lakini hata ya kununua mafuta ya kupikia na mkaa huna. Pengine hata kamisheni ikitoka, unaenda kulipia pango, maji na umeme. Bila kusahau Taka na Ulinzi. Pesa yote imeisha. Unatamani basi hata ununue blauz na kajinsi kazuri lakini bajeti hairuhusu ๐๐พโโ๏ธ. Na hata kioo hutaki kujiangalia maana ukiona nywele zako anasikia uchungu ๐ญ
Kazi yako sio ndogo. Najaribu kufikiria ni wangapi wanategemea kamisheni yako. Inawezekana Kuna wazazi, watoto na ndugu wengine.
Dada yangu, naelewa changamoto unazopitia. Moja wapo ni MAJIBU MABOVU yenye kujaa dharau na kebehi kutoka kwa baadhi ya wateja. Ambayo yanakupa uchungu kwao wasijue unapitia mangapi na yenye ukubwa gani. Ila yote hayo yasiwe kizuizi chako cha kupambana.
Labda unawaza kwamba haya maisha ni mpaka lini, mbona huoni kuchomoka? ๐๐พโโ๏ธ
Dada yangu wacha nikuambie kitu, unatoa huduma kwa watu. Lakini katika hao hao watu, yupo mmoja ambaye amebeba MAJIBU ya maswali yako. Endelea kutoa huduma nzuri kwa Kila mtu na Usikate tamaa, endelea kupambana na Wala usichoke!!
Sasa nilitaka nikuambie maneno machache chini ya mtu huu wenye kivuli Cha bure. Muda unakwenda, INUKA tena, uendelee na mapambano. Sio siku nyingi ukifaulu hilo darasa utapelekwa darasa la juu zaidi.
Naamini nasema na watu kadhaa kupitia huyu dada. Mungu awabariki Watu wote ambao mnapambana katika kujitafuta. Msisahau IBADA, UAMINIFU, UVUMILIVU, NIDHAMU na BIDII vimebeba majibu yako.
#LevaviOculos