@IAMartin_ Wapi huko wanapotoa maji mara mbili kwa wiki Braza!?
Kwetu MBEZI Makabe Kavimbilwa, maji mara moja kwa mwezi tena hapo hadi tukilalamika na kuwatimua wasoma mita
@godbless_lema Barua yenyewe ya msajili ipo wapi!? Maana naona Mona ndio kaandika maamuzi ya msajili huku kina Zitto wakisema uzinduzi wa kampeni tarehe 30 August
POLEPOLE ni silaha ya adui iliyotumika kutuumiza wakati wa UTAWALA wa awamu ya tano na sasa SILAHA hiyo kali ya sumu ipo katika mikono yetu kutokea ndani kwa ADUI, ikiwa imejaa SUMU za kutosha; sasa tunaitumia kujibu mashambulizi ya adui ipasavyo. RISASI zake zikiisha tutaitupa.
๐จโค๏ธ๐ค BREAKING: Viktor Gyรถkeres to Arsenal, here we go! Verbal agreement in place between all parties involved.
Sporting accept last bid from Arsenal for โฌ63.5m plus โฌ10m, agent will reduce his commission.
Gyรถkeres will sign five year deal at #AFC. He ONLY wanted Arsenal. ๐ธ๐ช
@godbless_lema Nchi maskini kama yetu, ina Sheria za Ant Money Laundering..na Uhujumu Uchumi...Uongozi ndio tatizo kubwa, ndio maana hawataki Uchaguzi huru na wa haki