Me naamini kwamba 80% ya wanawake ambao huwa wanadai kuwa waume zao wamebadirika baada yakushika hela ni lazima kipindi chakujitafita kwao haohao wanawake waliwapuuza au waliwadharau kitu ambacho wanaume huwa hawasahau wala kusamehe.
Natamani sana siku moja hili suala la wanaume kutumia mda mwingi kwenye maisha kwa ajili yakumuelewa mwanamke lije lifikie ukomo tuwe na mengine yaku-focus.๐
kama mwanamke hakupendi au hafurahishwi naww hata ungeprovide moyo na maini yako kwake bado atakuona fara tuu so hizo motivation zakuzoofisha mentality za wanaume achaneni nazo we ishi na mke au manzi yako kwa namna unavyoona inafaa kwako usilazimishe wote tuiishi hiyo lifestyle.