@godbless_lema Broo nilikuwa nakuona kma mtu mwenye akili timamau ila kadri siku zinavyo zidi kwenda naona kama unapungukiwa akili broo tuko kwenye majonzi we umekomaa na siasa broo changer u mind
@shaffihdauda1@TTBTanzania@FmClouds @cloudstv @HKigwangalla Utalii wa ndani huo iko powa broo kunakipindi cha michezo tulikifanya ukiwa mugumu nimekifatilia naona bdo haujakipost unapost lini?
I really feel for Kepa. It's clear that he has lost his confidence & I hope Chelsea send him somewhere on loan. He really needs to go some place else & get some time to regain his confidence. It could be really tough mentally for a young player to receive constant criticism
Gari analotumia akitumia Salum Mwalimu ambaye ni Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia CHADEMA limepata ajali eneo la Msoka Kata ya Ngogwa wakati wakiwa njiani kutoka kwenye mkutano Kahama. Wote waliokuwa kwenye gari hilo wametoka salama, taarifa ya CHADEMA imesema