Habemus Papam!
Pongezi za dhati kwa Kardinali Robert Francis Prevost, Papa Leo XIV kwa kuchaguliwa kuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani.
Kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninakutakia kila la kheri katika utumishi wako kwa Kanisa na Dunia kwa ujumla.
Mwenyezi Mungu akusimamie na kukuongoza.
Martin Masese alikuwa akimnadi Mbowe wakati wa uchaguzi wa chama Wala hakujificha,Baada ya uchaguzi kumalizika aliendelea na kazi ya kupambana na CCM bila kuweka kinyongo,Leo hii wamehama waliokuwa na mapenzi na mbowe yeye amebaki Amechagua uhai wa chama
tumpe retweet 1000
Kama uku tayari kumlinda mwenyekiti @TunduALissu kwa wivu mkubwa sana na watu wenye Nia ovu ya kukwamisha uongozi wake ndani ya chama.Retweet hapa nikuone kamanda
Wakazi wa Ubungo mwezi wa kumi mnatuchagulia Nani kuwa muwakilishi wenu bungeni ..??
Retweet Kama utamchagua
@ExMayorUbungo
na like Kama utamchagua
@kitilam
— Nikiwa naleta zile makala za kijasusi, kuna watu huwa wananishukuru sana nikizitaja MOVIES zinazogusa mikasa husika.
— Sasa leo nimeona niwalete orodha ya movies kali 20 ambazo zinahusu CIA tu. Huwezi kujuta kuzitazama.
— Nitataja jina la movie, na mwaka.
— Utakachonisaidia wewe ni kuREPOST ili usinufaike peke yako. Na wengine pia wapate vya kwenda kuangalia.
Twen'zetu...👇🏽
— Huyu hapa, kijana ambaye aliitetemesha dunia kwa kuivua nguo mifumo ya CIA, akiwa na miaka 15 tu!
— Nyaraka zote ambazo wao waliamini ni za siri na hakuna wa kuweza kuzifikia, kijana alizifunua na kuzigeuza atakavyo.
— Jina lake ni KANE GAMBLE (Tamka: Ken Gembo)...
Na huu ni UZI maalumu kuhusu kisanga hiki...
Wakati unaanza kutiririka, usiwe mchoyo, fanya uungwana mdogo tu, angusha REPOST hapo chini ili maarifa haya yawafikie wengi zaidi....
Twen'zetu!👇🏽