@millardayo Ni nani huyo anasema Tanzania inauzwa? Na ni nani anaiuza? Kwanini aiuze? Kwani sisi watanzania tumeichoka? Haya wakiinunua sisi tutakwenda wapi? Na dalali ni nani? Au ni mwalimu @bajabiri
@royalmediatz Bila shaka huyu si mchambuzi wa masuala yanayo wahusu Watanzania.
Kama watu hawa wangekuwepo wakati wa kumfurusha mkoloni huenda tusingefanikiwa
@royalmediatz Samahani kidogo, @royalmediatz huyo ndugu yenu Mwaipopo amewatajia ni nchi gani haina katiba hapa duniani? Inawezaje kuwa nchi ambayo haina katiba? Kwa mjibu wake yeye (Mwaipopo) anajua KATIBA ni kitu gani na kinakuwaje?
@chapo255 Kuna kijana mmoja nampenda sana kulingana na michakato ya uhangaikaji wake, siku moja akapost status anavuta mnaita shidha nadhani, nikamweleza kuwa fanya starehe zote lakini walau shidha bangi na mengine achana nayo akaniona snitch kabisa.