@zittokabwe Watanzania ni watu waelewa sana Tumetambua nia yenu ovu ya kutaka kuichafua nchi ,kamwe hatutokubali kuchonganishwa na kurudishwa nyuma na baadhi ya wanasiasa waliovaa ngozi ya kondoo kumbe mioyoni mwao ni mbwa mwitu,TUMEWATAMBUA NDIO MAANA TUMEWANYIMA KURA.@zittokabwe
@ACTwazalendo@ChademaTz@chadema@ACTwazalendo Kaeni mjiulize na kujitafakali mmekosea wapi sio kutuletea propaganda na kutuhamasisha tuandamane bila sababu ya msingi,sisi watanzania sio wa kupelekwapelekwa na wanasiasa wachache wenye kutaka madalaka kwa manufaa yao.EWE MTANZANIA USIKUBALI KUTUMIKA.
@zittokabwe "Mfa maji aachi kutapatapa" Nyinyi endeleeni kugombana na kutafuta huruma kwa wananchi kwa kuendelea kuongopa safari hii tutawasikia tu humu twitter mlikozoea kuzusha mambo
@kigogo2014 Upuuzi wa kigogo uo na genge lake la Twitter hauwafikishi popote JPM ndio raisi alieteuliwa na Mungu kwa ajili ya kuwatumikia watanzania kipindi hiki Izo blaa blaa zenu 2meshazizoea wala azitusaidii sisi
@kigogo2014 Nchi hii imejengwa katika misingi ya HAKI, AMANI,UMOJA,UTU NA UZALENDO wewe unaejiita Kigogo na genge lako ukishirikiana na baadhi ya viongozi wa chama cha Chadema na Act na wafuasi wenu kamwe amuwezi kuiingiza hii nchi katika machafuko, Watanzania wako macho,Selikali iko macho