Ni TV show gani uliipenda na hukuimalizia kuiamgalia?
Mimi naanza hapa
๐๐
Davinci's Demons
The Lost city of Atlantis
The strain
The Legend
Tyrant.
KANDAMIZA ZAKO NOW..
Rwanda has kicked off a "Cow in the Car" programme to promote its cattle products. Volkswagen will use leather from the cattle to make car seats.
Health researchers are using cow body parts to produce insulin.
Content ya watumiaji wa Twitter Tanzania inabadilika kwa kasi sana. Mambo ya kujenga yanatoweka kama umeme, na watoa dhima njema wanachoka mapema maana contents zao ni kama walaji hawazioni.
RAI: Mtoa content ya kufungua fikra/kujenga... usibadilike. Walaji wapo, usiwe vuguvugu
@mlibyahuru@Kiganyi_@TheoGiyan Nafikiri kila chama Kina mawazo tofauti ndo maana tukawa na ACT na CDM kwann kila mmoja amkosoe mwenzake wakati wanatofautiana kisera!