Africa is a reservoir of joy and hope for the whole world. Its young people and its poor still dream; they hope still; they do not settle for what already exists. They desire to rise up again, to prepare for great responsibilities, to put themselves on the line personally. The desire for the infinite that dwells in the human heart is a principle of social transformation deeper than any political or cultural program. #ApostolicJourney #Angola
Mama Suluhu Hassan, President of Tanzania, is fast becoming one of my favorite leaders in Africa. No nonsense and extremely decisive! Asante sana Mama.
Kwako Mh @HusseinBashe, nakuandikia kutoka Songea, wakulima hatutaki tuonewe huruma lakini tupewe uwanda bora wa kiuchumi huku tulitimiza wajibu wetu kwa serikali, tafadhali pitia hii
Huyu binti @MiriamMkanaka sio mwanasiasa, hana uongozi katika taasisi rasmi lakini ana MOYO mweupe. Ana dhamira ya kile anachoamini. Asivunjwe moyo wake. Hahitaji sifa bali APPRECIATION. Sikuwa namjua kijana Sativa, nimemjua kupitia huyu Miriam (ambaye naye simjui) Kazi aliyofanya kuokoa maisha ya @Sativa255 wengi wetu tusingeweza kufanya. Ninampa pole na hongera nyingi. Amebaki kwenye mstari
- Tukomeshe utekaji
- Tuhakikishe watekaji wanawajibishwa.
@JiniKinyonga@Sativa255@zittokabwe Namba hua hazidanganyi kila mmoja aweke namba zake mezani.... Wengine wameweka na tumeona ambao bado fanyen hivo kihasibu kabisa.