Kipekee nimshukuru sana Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa kwa kutenga muda wake kuwasikiliza vijana katika Mkoa wetu wa Dar es salaam.
Kwetu ni heshima kubwa, shime kwa vijana wenzangu twendeni tukashauri,tutoe maoni na mitizamo chanya kwa maslahi ya vijana wote nchini.
Gharama mpya za Makato ya miamala ya simu ni hujuma kwa serikali na Chama Cha Mapinduzi kuna haja ya Chama kufanya tafakuri ya kina juu ya uuaji wa biashara hii ya miamala ya simu inayofanywa na watanzania wengi wa kipato cha kati.
Hongera ndugu Kenan Kihongosi kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa.
Binafsi sina mashaka na uwezo wako na Mola akutangulie katika majukumu yako mapya @ngoma_mohammed @Eric_Bernard94 @seif_tanzania@Nyategajr@MwendwaRMwendwa
Mkoa wetu wa Dar es salaam umeshika nafasi ya tatu kitaifa katika michezo ya UMITASHUMTA kwa kupata point 125.4 na kushika nafasi ya kwanza katika mchezo wa soka kwa kupata point 20.
Kwa niaba ya Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Dar es salaam tunapenda kuwapongeza mashujaa wetu.
Kesho nitakuwa tawi la Chuo Kikuu Cha Afya Cha Excellent kuzungumza na vijana wa tawi hilo juu ya wajibu wa vijana katika ukombozi wa kiuchumi. @seif_tanzania @Eric_Bernard94 @ngoma_mohammed
Upinzani umeacha jukumu la Msingi la kuja na sera mbadala dhidi ya mwenendo wa CCM wamejipa kazi ya kuwatafuta walalamikaji dhidi ya Sabaya.
Akili ndogo daima haiwezi kushika hatam. @John_Pambalu @Eric_Bernard94 @seif_tanzania@ChiefSeniorKip1@MwendwaRMwendwa @ngoma_mohammed
Kitendo cha Mhe.Rais kuwaalika wanawake kutoka makundi mbalimbali katika mkutano wake ni dalili njema na nia ya dhati ya kutaka kupeleka mbele ajenda za msingi kwa maslahi ya taifa.
Heko kwa serikali ya CCM. @John_Pambalu @Kasilo_Honester @Eric_Bernard94
Mhe.Mbowe anamsingizia marehemu kupitia marehemu mwenzie.
Hizi ni siasa mfu zinazosubiri mtu afe ili upate ajenda.
Alikuwa wapi kuyasema haya wakati TB Joshua alipokuwa hai?. @ngoma_mohammed @ChiefSeniorKip1 @Eric_Bernard94 @seif_tanzania@John_Pambalu @Kasilo_Honester
Nimesikitishwa na taarifa ya kifo cha Mzee Mzindakaya, alikuwa baba, mwalim na mshauri na nguli wa siasa za nchi yetu.
Mola amlaze Mzee wetu mahala pema na awatie faraja ndugu jamaa na wote wanaohusika na msiba huo. @Eric_Bernard94 @ngoma_mohammed @ChiefSeniorKip2
Madai ya katiba mpya yanayoendelea kuratibiwa na vijana wa CHADEMA ni dalili kuwa serikali ya CCM imemaliza kero za msingi za upinzani waswahili wanasema "Ukiona mtoto anataka nguo ya ndani ujue ya nje tayari anayo"
Heko kwa serikali ya CCM. @John_Pambalu @Eric_Bernard94
Chama Cha Siasa kikikosa madaraka kinageuka kikundi cha kigaidi, Chadema imekuwa ya kushindana na Diamond kweli @Eric_Bernard94 @MwendwaRMwendwa@Reagany_Mchome @Kasilo_Honester