@airtel_tanzania kiukweli ningeomba muangalie upya mfumo wenu wa jihudumie hususani kwenye airtelmoney ambapo mteja anaweza kubadili pin yake.Kwani unatoa fursa kwa alieokota/kuiba simu kutoa pesa
@airtel_tanzania Huko DM hakuna msaada nimesema Rafiki yangu alipoteza simu baada ya kurenew alikuta pesa iliyokuwemo imetolewa tulipo jalibu kuuliza jibu lilikuwa wewe ndio umetoa pesa Hivyo hatuna msaada
@Royaltv_plus Pale jukwaa la wahariri Tanzania linapo geuka ofisi ya msemaji wa serikali
Kisha tutegemee eti kutakuwa na uhuru wa vyombo vya habari Tanzania
@YerickoNyerereT Wewe pia unafaa kufukuzwa kwani umekuwa ukiunga mkono matamko ya huyo aliyeondolewa sasa leo unajifanya kuwa upande wa chama ili hali wewe ni msaliti
Shame on you