@nikkwapili@FarajaNyalandu@HakiElimu@NyangubuYessy Fikiria kama shule zingesaidia watoto kutambua uwezo, kuchunguza vipaji tangu umr mdogo na kukuza ujuzi wao kwa miaka 14 badala ya kuwaacha wote kufuata nfumo kama kondoo na kubaki wamechanganyikiwa kimaisha baada ya kuhitimu