GACHAGUA IMPEACHMENT case: High Court has ruled that it has jurisdiction to determine whether the former Deputy President Rigathi Gachagua's impeachment process was constitutional.
Breaking: Your phone is sending data to Google every 4.5 minutes.
Screen off. Phone untouched.
Trinity College Dublin confirmed it in a peer reviewed study.
Here are 12 settings to cut it off:
Kuna jamaa amekuaga anaishi life ingine ya umaskini mbaya 😢. Ako na familia lakini life imewagonga tu hata kukula huwa noma. So on Saturday amechill tu hapo nje then gari ikaingia kwake, akaona watu wanashuka akadhani maybe ni wa kubuy shamba. Kumbe ni Msichana aliwahi zaa akiwa hustle Nakuru then wakapart ways na mamake. She's been looking for her biological father for long. Anafanya kazi KRA so alifurahi akasema anataka kuchange life ya babake kabisa. Jana construction materials zimeingia, shopping kwa wingi na masuti za mzee. Sasa shida ni huyu mathe amejam ati mbona huyu Mzee anakubali huyo msichana, anasema ni signs za ku welcome cowife and she wants to leave the marriage juu hawezi ishi hiyo nyumba inajengwa. Mzee awachilie ndoa ama akatae hizo privileges? 🤔
Hii idea ya Wekesa mnaona aje?
“Here is an extremely profitable business idea that most of you ignore. The "Kuku" farming.. this can thrive anywhere in Kenya.
Chukua a bank loan of 100K or ask your friends wakupea hio 100K this month.
The next step ni ukuje huku Western. Huku ndio kuna Kuku kwa wingi. Tafuta a friend akutembeze in the rural areas. Ask around for the small chicks zile that will mature na zikue Jogoo. Strictly Kienyeji.
Buy hizi small chicks at 200 bob. These are past Ile stage ya kua wagonjwa.
The 100K will get you 500 chicks. Keep these chicks till December when the demand is extremely high.
Walk around these high end hotels utafute customers. Negotiate moja at Ksh 1500. Remember hizi ni pure Kienyeji.
Sell them at 1500 each. This means you'll make 750,000 Ksh.
Substract Ile cost ya feeds and maybe some vaccines. Let's assume it's Ksh 150,000. Subtract Ile ya loan..( Ksh 100,000 plus interest of 100,000K)
So utakua umemake a profit of Ksh 400,000 within just 7 Months.
Take the Ksh 400,000 divide by the 7 months. This means kila mwezi utakua umepata Ksh 57,000 profit.
Hata Mwalimu wa JSS hapati hii pesa per month. Hata wale government employed hawapati hii per month. Utakua more better kuwashinda.
Akili Mtu Wangu!!”