@MwitaJulius2000@HecheJohn@lifeofmshaba@ngurumo@fatma_karume@MariaSTsehai In other way ilikuwa ni syllabus ya hovyo toka dunia iumbwe.
Kujua development ya nchi Fulani in certain activity haikuwa na faida kwako kama mtanzania.
Mf hapa hatukuwa na kiwanda cha magali hiyo historia ya ujeruman magharibi ingekuwa na faida gani kwa wakati huo.
@Danquadruple@OKumwembe Na wakiwa huko bungeni hoja yap vijana tunaotoka vyuoni tujiajir sijui kwa pesa gani.
Kati wao miaka mitano bado wanautaka ubunge...
Sijui kwa nn wasiende kujiari kama wanavyo twambia.
@shaffihdauda1 Ivi header ya samagoal dhid ya Liver uefa pale Anfield na ile ya carabao dhid ya man city mnajua ni za viwango gan?
Labda aje @kashasha awasaidie kujua sio za kawaida zile....
@Samagoal ni noma....