@Uhurubilamipaka Big up malawian's, you act different, you show us everything is possible. What is needed is determination from the people. Changes needs struggle from all of us.
@Oraibtz Hili swali tungempata Dotto bulendu akamuuliza igp siro kwamba walivyoapa, waliapa kumlinda magufuli na CCM au kuilinda katiba na wananchi na usalama wa mali zao au?
@YNgweta@SuphianJuma Wameshabadilisha mashtaka mama, eti mlikuwa mnahatarisha amani. Na bado mkienda tarehe 1.07 mtakuta yamebadilika tena, kwani hawajui wafanyalo.
@Oraibtz Rais wetu si alisema angeenda kumfanyia kampeni Prof. Mutharika! Imekuwaje swahiba kapigwa kabla hakujakucha? Kwa marehemu nkurunziza ilikuwa hivyo hivyo, swahiba anazikwa kesho! Meko akikutembelea hospitalini, Israel akiichukua royo yako usishangae!
@JPambalu Eti CHADEMA kinaenda kufa, kinaenda kufia wapi? Hebu itisheni mdahalo wa meko wenu na hata kiongozi wa umoja wa vijana Mh. Pambalu. Meko akitokezea nitatembea bila suruali kwa mwezi mzima.
@MariaSTsehai@ChademaTz@ccm_tanzania Huyu kamanda hakika ni shujaa mno maana meko katoka chato na anavyovichukia vyama vya upinzani, lkn huyu kamanda amekuwa imara mda wote huo na hajaunga juhudi!
Hakika BBC siku hizi imekosa ueledi sana. Jana walimhoji KM afya kuhusu Corona eti wametumia mbinu gani kumaliza Corona na eti nini kifanyike kuzisaidia nchi ambazo bado zina Corona? Kana kwamba Tanzania wanapima, waliothibitika na kupona. Hawapimi, hawajulikani wagonjwa,
@millardayo Jamani msipoteze muda na hizi muvi. Kumbukeni kuna issue ya kufungia gazeti Tanzania Daima, na kukamatwa kwa zitto na wenzake. Hivyo wamelianzisha ili kuyapotezea hayo.
@JamiiForums Hizo muvi tumeshazizoea ili mpotezee kukamatwa kwa zitto na kufungiwa gazeti la tanzania daima. Mmefeli. Meko hana mvuto, kwa Sasa anajulikana kama,mdhulumu uhai wa watu na madhila mengine mengi.