@HildaNewton21 Na siku ingine unaamka umejawa na amani ghafla anatokea "kiumbe" mmoja anaharibu siku nzima, unaishia kukaa kimya usije mmwagia mtu 99% isiyomuhusu!
@mshambuliaji Kwani lazima kutrend chief, watu wana maumivu yakuondokewa na wapendwa wao, siukae kimya tu, haigharimu chochote. Of all ways to contract Covid 19 all he could think of is kissing - awazavyo mtu ndio alivyo. BF!
@MSalimu "1980, women in SA were treated as legal minor. They had ("no right") to open a bank account, sign any official documents on their names". -Iris Berger