TAFAKURI KWA KAULI YAKO KOMBO
"Kama mauaji yaliyotokea Oct 29 na siku zilizofuatia ni polisi walikuwa wanatekeleza katiba!, Sasa kwa nini mnaongelea kuliponya taifa kama polisi walikuwa wanatekeleza katiba?Kwa nini hamuoni kama katiba waliyoitekeleza inaumwa na inahitaji itibiwe ipone ili iliponye taifa?'"🤷♂️. Katiba mpya inahitajika sasa.
#KatibaMpyaFreeTunduLissu
Wait, let me get this straight.
So this woman ordered the killing of over 10,000 of her own citizens, then turned around and claimed the presidency.
Just days after the massacre, she stood on a podium and proudly declared that “the correct force” had been used against protesters. Then, in one of the coldest moments imaginable, she questioned grieving parents by asking: “Why did you allow your children to protest? This is why they are dead.”
When the European Union condemned the killings, she arrogantly responded: “Who are you to tell me what?”
Then the United States condemned her regime. Unlike her response to Europe, she was far more careful with America because she fears Washington. Instead of insults, she sent lobbyists to try and convince President Trump and the U.S. government to look away from the bloodshed.
As we speak, Tanzania continues paying tens of thousands of dollars every month to a Trump-aligned lobbying group in Washington, hoping Americans will ignore the massacre. But despite the lobbying, President Trump has not looked away. Members of the U.S. Congress have continued standing with the victims and condemning the killings.
When lobbying failed, she moved on to offering mineral and business deals to American companies, believing economic interests would erase the blood of innocent protesters. Some companies accepted the deals, yet still the pressure from the United States did not disappear.
And now, after failing to silence international outrage, what is her latest move?
She has turned to some of the world’s most notorious online scammers to help rewrite history , to shift blame away from her regime and somehow pin responsibility for the killings on America and President Trump. She has hired a NIGERIAN SCAMMER to do a documentary to whitewash the killings. All reputable journalists and media houses in the world refused to do her dirty work, except Nigerians, OFCOURSE!!!!
Imagine that. A government after massacring its own people now paying NIgerian scammers to attack the very countries demanding accountability.
@POTUS, @realDonaldTrump Tanzanians are begging the world not to abandon us. A country cannot heal, prosper, or remain stable while the person who ordered mass killings continues to hold power without accountability.
The people of Tanzania deserve justice. And above all, they deserve the chance to reclaim their country and live without fear.
MAHAKAMA KUU YA TANZANIA IMEMZUIA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUIFUTA CHADEMA AU KUITOZA FAINI.
Moja kati ya sababu zilizotolewa na Mawakili ni kwamba Msajili ameonyesha upande kwamba anaifuta CHADEMA au ataitoza faini wakati baruahiyo ilikuwa hata bado haijajibiwa na CHADEMA.
Kwamba kwenye barua hiyo Msajili yeye ndo mlalamika, yeye ndo shaidi na wakati huo huo yeye ndo Jaji kwa maana hii hawezi kutenda Haki.
Unaweza kusoma uamuzi wa Mahakama👇
MAREKANI YAPANGA KUWATAJA VIONGOZI WA TANZANIA WANAOTUHUMIWA KUKANDAMIZA DEMOKRASIA
SEHEMU YA 5: RIPOTI KUHUSU BAADHI YA WATU WALIO KWENYE NAFASI ZA UONGOZI TANZANIA
Ndani ya siku zisizozidi 180 tangu sheria hii kuanza kutumika, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani atawasilisha ripoti kwa Kamati husika za Bunge la Marekani ikijumuisha orodha ya watu wa kigeni ambao:
(1)
Wanashikilia nafasi za juu serikalini Tanzania, ndani ya uongozi wa CCM, Jeshi la Polisi Tanzania, JWTZ au Idara ya Usalama wa Taifa
Na (2)
Wanahusika moja kwa moja au kwa namna yoyote katika:
(A) Kuagiza, kusimamia au kuelekeza utekaji, kupotezwa kwa watu, au kuwekwa kizuizini kiholela kwa wapinzani wa kisiasa, waandishi wa habari au wanaharakati wa kiraia
(B) Unyanyasaji, vitisho, kukamatwa au matumizi ya nguvu dhidi ya waandishi wa habari, taasisi za habari au wanaharakati kwa lengo la kuzima sauti tofauti au kuficha taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu
(C) Kufungia au kudhibiti vyombo vya habari, internet au uhuru wa kujieleza ili kuficha ukiukwaji wa haki za binadamu au kuzuia usambazaji wa taarifa za kuaminika
(D) Ukiukwaji mkubwa wa uhuru wa dini, ikiwemo mateso dhidi ya watu au makundi kwa sababu ya dini zao, au vitendo vya ubaguzi, vitisho na ukandamizaji dhidi ya jamii za kidini
(E) Matumizi ya mbinu za ukandamizaji wa kimataifa dhidi ya raia wa Tanzania, watu wa diaspora au raia wa kigeni ndani na nje ya nchi
(F) Mauaji ya kiholela, mateso au ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu zinazotambuliwa kimataifa
(G) Au vitendo vingine vinavyokiuka haki za binadamu na uhuru wa kiraia unaolindwa na Katiba ya Tanzania.
Unajua kwanini milio imekuwa mingi kuhusu huo muswada pendekezwa huko USA?.
Watu washajaa kwenye mfumo maana muswada umependekezwa na democratic na Republic chama tawala na upinzani!!
Hapo ndo ile wanasema ugali moto, mboga moto, maji ya kunawa moto na maji ya kunywa moto! 😂😂
TUACHE PROPAGANDA JUU YA UHAI WA WATANGANYIKA.
Hakuna Taifa linalotuonea wala kutuingilia mambo yetu ya ndani kinyume na Sheria za Kimataifa.
Yanayotupata leo yanatokana zaidi na ujinga wetu wenyewe, ukatili wetu wenyewe, na kushindwa kuwajibika kwa mujibu wa Sheria na Katiba ya nchi.
Tumeacha misingi ya utawala wa sheria na kujigeuza kuwa miungu watu wasioguswa na uwajibikaji.
Hatuwezi kuua, kutesa, kushambulia na kupoteza maelfu ya watu halafu tukajificha nyuma ya neno “sovereignty.” Huo siyo ulinzi wa mamlaka ya Taifa; huo ni upotoshaji wa dhana ya sovereignty chini ya Sheria za Kimataifa.
Kwa mujibu wa Katiba ya Umoja wa Mataifa (UN Charter), Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Kiraia na Kisiasa (ICCPR), Azimio la Kimataifa la Haki za Binadamu (UDHR), Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu (African Charter on Human and Peoples’ Rights), pamoja na kanuni ya Responsibility to Protect (R2P), Mataifa yana wajibu wa kulinda uhai, utu, uhuru na usalama wa wananchi wake.
Sovereignty katika sheria za kimataifa siyo leseni ya Serikali kufanya ukatili dhidi ya watu wake bila kuwajibishwa. Sovereignty ina mipaka ya kisheria na kiutu iliyowekwa na mikataba ya kimataifa, sheria za haki za binadamu, na wajibu wa Mataifa kulinda wananchi dhidi ya mauaji, mateso, upotezwaji wa watu na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.
Pale ambapo Taifa linashindwa au linakataa kulinda haki za msingi za wananchi wake, jumuiya ya kimataifa kupitia taasisi zake halali inaweza kuchukua hatua kwa mujibu wa sheria za kimataifa ili kuzuia ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.
Ndiyo maana hatua mbalimbali zinazochukuliwa na baadhi ya Mataifa ya Ulaya, Marekani, na taasisi za kimataifa kuhusu maafa ya Oktoba 29 dhidi ya Watanganyika ikiwemo mauaji, upotezwaji wa watu, mateso, na vitendo vinavyokiuka misingi ya haki za binadamu zinaweza kuwa na msingi ndani ya mfumo wa sheria za kimataifa na wajibu wa kimataifa wa kulinda utu wa binadamu.
Tusipokuwa tayari kujiwajibisha wenyewe, tutajikuta tunawajibishwa na jumuiya ya kimataifa.
Ukweli, Haki, Utawala wa Sheria na Uwajibikaji ndiyo msingi pekee wa kulinasua Taifa letu kutoka katika mkwamo huu.
BAK MWABUKUSI
SHAMBANI BUSOKELO
Sonko alimsaidia Faye kuwa Rais wa Senegal, Kisha Faye akamteua Sonko kuwa Waziri mkuu. Sasa hivi hawaelewani, tena Faye ametengua uteuzi wa Sonko kama Waziri mkuu. Jana Spika wa Bunge la Senegal amejiuzulu na Leo Sonko amechaguliwa na wabunge kuwa Spika. Hapa moto lazima uwake.
Hofu haiui mwili pekee, huua pia uvumilivu wa moyo. Mwanadamu akiona ukimya haumwokoi na woga haumzuii mauti, huanza kuamini kuwa ujasiri ni afadhali kuliko kuishi kwa kutetemeka. Ndipo jamii huingia katika hatari kubwa zaidi, pale watu wanapoacha kuogopa kupoteza maisha kwa sababu tayari wamepoteza matumaini. David Jumbe hastahili hofu, mateso wala maumivu yoyote mengine.
Naibu Katibu Mkuu Bara wa @ChademaTZ2 Amani Golugwa ameeleza alivyoshangazwa na kauli ya ZCO, Afande Faustin Mafwele mara baada ya kuongea nae na simu juu ya ukamatwaji wa msaidizi wa Tundu Lissu.
Picha zikionyesha Msaidizi wa TUNDU LISSU akiwa ameumizwa vibaya na watekaji usiku wa kuamkia leo.
David Djumbe alitekwa siku ya Jana Maeneo ya Bunju akiwa na rafiki yake wakati wa kutekwa alipiga kelele sana bodaboda wakafukuzia GARI kwa nyuma
Walipofika umbali wa kilometa kama 3 watekaji walipoona bodaboda bado wanafuatilia GARI, watekaji walishuka na kuanza kupiga RISASI wakati huo Djumbe wakiwa wamemuacha ndani ya GARI.
Ndio David Djumbe akapata upenyo na kukimbia akiwa na Pingu mkononi na amelowa damu kama anavyoonekana.
Mungu ametenda watekaji wanazidi kuuumbuka.
The @StateDept is designating Tanzanian Police Force Senior Assistant Commissioner Faustine Jackson Mafwele for involvement in gross violations of human rights.
Nimeona video mwili wa mwanafunzi wa UDOM aliyeuwawa, kwa kweli nashindwa kuiposti inatia uchungu sana
inasikitisha sana, tumefikishwa mahali pabaya sana kama tusipojinasua sasa
watu wanachinjwa kisha kutolewa viungo vya mwili ionekane kama ni ushirikina, mfumo unaumiza watu na kutengeneza mazingira kama ni matukio tofauti na sio yaliyofanywa na mfumo
Tusikubali ndugu zetu kuendelea kuuwawa kisha tuambiwe ni ushirikina
Kami Rita Sherpa raia wa Nepal mwenye umri wa miaka 56 maarufu kama “Everest Man” amevunja rekodi yake yeye mwenyewe kwa kupanda kilele kirefu zaidi duniani cha Mlima Everest kwa mara ya 32. Kami amepanda kilele kirefu zaidi ambacho kina urefu wa Mita 8,848.86
Tundu Lissu aripoti kupata maumivu makali ya tumbo 'toka kuzaliwa' baada ya kupewa vipande vya matunda.
Akiutaarifu umma, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa Lissu amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya tumbo.
"Nimeongea na Dk. Nshala, mwanasheria mkuu wetu wa chama. Ameniambia wametoka kumwona mwenyekiti wetu gerezani jana na juzi," Heche ameeleza leo Kahama.
"Mwenyekiti alipewa chungwa kidogo, papai, kipande cha nanasi na embe. Alipomaliza kula, tumbo likaanza kumuuma vibaya. Kwa maneno ya Mheshimiwa Lissu na maumivu aliyowahi kupitia, anasema alisikia maumivu ambayo hajawahi kuyasikia tangu alipozaliwa," alieleza zaidi Heche.
🚨🗣️ | Luis Suarez: 🎙️
“After scoring four goals against Norwich, I got home expecting my wife to praise me. But she said nothing.
The next day she looked at me and said: ‘Do you know why I didn’t congratulate you? Because here, you’re still my husband, the father of your daughter… the same old Salta boy.’
That stayed with me forever. Football can make you believe the hype when the whole world is praising you, but having someone who reminds you who you truly are keeps you grounded.
To the world, I was Luis Suárez the goalscorer. At home, I was just dad, husband… the guy still expected to wash the dishes. 😂
You can score 600 goals, but if you leave your clothes on the floor, you’ll still get shouted at. And honestly, that’s what keeps you real.”
Luis Suárez on how his wife helped him stay humble through all the fame ❤️