TANZANIA YAPONGEZWA VITA YA CORONA, MABILIONI YAMWAGWA
Balozi wa EU wameahidi kutoa Dola Milioni 38 ambazo zitakuja kutusaidia baada ya janga hili, aidha serikali ya Sweden itatuongezea Dola Milioni 20 kusaidia bajeti ya elimu na Dola Milioni 10 kwa ajili ya TASAF - Prof.Kabudi
"Mtu yeyote atakayepewa mavifaa ya kuzuia corona, na mkayapima mkakuta yana corona, huyo mtu mpelekeni mahakamani hata kwa kesi ya uuaji kama wauaji wengine."- Rais wa Tanzania, Dkt @MagufuliJP akizungumza Ikulu ya Chamwino, Dodoma.