Kwa safari za Dar Moshi Arusha Kila siku wacheki @extraluxury_
Usafiri ni wa uhakika na kizuri zaidi uwapo safarini utahudumiwa na wahudumu waliobobea
Hutojutia safari yako ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Nikuongezee? Hapa nilikuwa na mchumba mmoja mkali sana! Kwao wananijua, kwetu wanamjua. And I never cheated on her and she never cheated on me. We had focus!
Siyo nyie wa siku hizi waongooo mpaka basi! Wasichana wenu wanapenda hela na nyie hamna hela kwa hiyo wanakuja ku-graze majani ya juu, wanawaacheni mkila mizizi na maji ya tope kule chini! ๐๐๐พ