“Ukiishi vizuri na watu mitandaoni na nje ya mitandao hata usipokuwepo kwenye kusanyiko la watu hatakosekana walau yule mmoja wa kusema jamani 'Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni”
-@tonytogolani
"Watu wenye kutoa sana misaada ni wale ambao walikuwa hawana kitu, Wanapenda sana kutoa kwa sababu wanayajua maumivu anayopitia yule aliyekosa kitu". ~Togolani Mavura.
@bajabiri Acha wadharauliwe mtu anakuambia niazime 20k weka kwenye namba hii na ukichek jina sio Lake linasoma taasisi ya mikopo na mwisho wa siku anakukimbia kisa 20K ulomsaidia kulipa!! Acha wadhihakiwe bora angeomba akasaidiwa
Kwa Tanzania....mwalimu anaweza kudhihakiwa hata na mtu asiye na TIN.
Na Mwl.akiamua kujitutumua kutoka kwenye comfort Zone ataandamwa.
Mwl akisema awe busy na watoto ataandamwa.
Modern teachers should change this mindset.
Fursa za kuwa Tajiri zipo.
#TeachingIsProfession