Sasa Elon amekataa na badge mnalenga posts zangu na nilikuwa nimeaza kupata 10 likes saa hii zimeshuka hadi 3. Saswa tu..tupatane tena 14th August ndio itakuwa renewed siwezi lipa pesa zingine zipotee
enyewe ile msemo ya "you can never get away with murder" kumbe huwa ukweli bana. okoth obado amepatikana guilty as charged sasa huyo anaenda kuozea kamiti maximum. buana be everything lakini sio muuwaji ju hiyo damu itakufwata na ni must itakumaliza. sharon amepata justice.
hakuna kitu mbaya kama dem akuwe anakupenda na wewe humpendi back. buana unaeza mfanyia matharau vile unataka na hakuna place ataenda. lakini si atachoka na wewe atakufanyia revenge ingine hatari sana. wanasemanga "if i cant have you, then no one can".