@Baradhuli2 Mshasahau kuwa ushahidi wa msingi haupo mahakamani? Wenyewe washaona kesi imekuwa nzito ndo mana wanahangaika kuingiza ushahidi mpya wa oct 29 ili kurudisha uhai wa kesi. Pa1 aliongea lkn wanashindwa kuithibitishia mahakama kwa kupeleka uthibitisho wa picha, vudeo, sauti.
@Thereal_taivina Since ile kesi ya ugaidi ya FAM ndo nilijifunza hichi ulichoandika leo, hii ya uhaini ya TAL inaendeleza kuonesha ni njisi gani raia wa chini wanavyoonewa
@Thommunkondya Hata kesi ya FAM, mwenyewe aliwahi kusema mahakani, wana miezi 5 wanashinda njaa na wakirudi magereza wanakuta washakula, hivyo wanashindia ule uji wa asbh wkt wanatoka gerezani kuja mahakamani , so haikupaswa kushangaa, TL alisema kwa lengo mfumo huo ubadilishwe
@EsirEid Pongezi kwa yoyote atakaechaguliwa, ila hongera sana kwako @EsirEid umekuwa sehem ya kuinua vijana wengi, nimejifunza mengi kupitia maoni yako & wengine kwa page hii,.. na hii fursa imetofautisha kati ya Tajiri la kihaya na yule anaerekodi magari, pesa kwa ajil ya kusimanga watu
TETESI ๐น๐ฟ
Ndoa ya kocha mkuu Mbwana Makata na Tz Prisons ipo mbioni kuvunjika
Tz Prisons wamepanga kumfuta kazi kocha wao mkuu Mbwana Makata pamoja na kocha msaidizi Shabani Kazumba
Mshambuliaji Juliet Nalukenge ameondoka Yanga Princess Kwa madai hajatimiziwa yale waliyokubaliana.
Nalukenge alikuwa tayari ameshawasili kambini na timu yake ilikuwa inaendelea kufuatilia kibali chake
Mkandayisenga Jeannine๐ท๐ผ na Juliet Nalukenge๐บ๐ฌ wote wamejiunga na Yanga Princess
Mkandayisenga amejiunga na Yanga Princess akitokea Rayon Sport ya wanawake huku Nalukenge alikuwa hana timu baada ya kuwa nje Kwa sababu ya majeruhi