Bonga: Learning Beyond the Classroom
What does learning really mean? A safe space. A chance to be heard. Skills to build confidence. New opportunities to shape your future.
For adolescents and young people out of school, learning shouldn’t end when the classroom does.
Bonga creates safe spaces where young people gain knowledge, life skills, confidence and opportunities to build brighter futures.
Because education is more than reading, writing and calculating. It’s about knowledge, choices and opportunities that last a lifetime.
#fightingpoverty
🌾 Nane Nane Kumenoga! 🎉
Tupo hapa kwenye Maonesho ya Nane Nane! Karibu kwenye banda letu ujifunze kuhusu kilimo bora na upate kufahamu shughuli tunazotekeleza kama @amanigirlsorganization katika kuwawezesha wasichana na jamii.
#Amanigirls#nanenane2025
🤾♂️Michezo ni lugha ya kwanza ya kujifunza kwa mtoto!🤾♂️
Katika darasa la awali Lusese, tunashuhudia furaha, ubunifu na maarifa vikistawi kupitia michezo.
Darasa hili, lililojengwa kwa ushirikiano wa @AmaniGirls_Org , jamii na serikali ya halmashauri ya Sengerema.