@MwanzoTvPlus Rais anakosea sana, huu ulikuwa ndio wakati mzuri wa uponyaji na kuwafariji watnzania, huu mchezo anaoufanya ni wa hatari sana kwa taifa, kuna wakati huwa najiuliza uwezo wa Rais wetu katika kutafakari mambo, uko sawa kweli? Ua anafanya makusudi?
@godbless_lema Hii siasa na mwendo wake ni vya kushangaza sana. Binafsi sijaona kosa la Zitto, alitoka Chadema lkn hata kuzungumzia mustakabali wa siasa unaoigusa Chadema ni dhambi?
@storizapombe Tunajitahidi kumpamba lakini ukweli ni la kuvunda, serikali yake ina wezi wengi, anachoona yeye watajwe waone aibu! Loo! Deni la taifa ndio hilo, demokrasi ndio usiseme.
@storizapombe Hizi propaganda zilishafeli kitambo, chama kipo imara. Tafuteni namna nyingine ya kuidhoofisha Chadema, sio haya mapropaganda ya kipuuzi, immunity ya Chadema dhidi ya hii michezo michafu ni kubwa mno
@cutysuzana@mangekimambi Kwanini mnataka sana maridhiani ilhali pale mlipotakiwa kuweka tahadhari hakufanya hivyo? Watu wengi wamekufa, uhai wao haurudi kwa ninyi kutotaka masikilizano, lkn mko mbelembele sana kwa maridhiano, strategy ya ovyo
@NNgabu_ Upuuzi sometimes, kwani kuna shida gani ukisema kuwa hatua hii inalenga kuongeza uwajibikaji bila kumtaja Samia? Humo ndani automatically Samia katajwa.
@mshambuliaji Sawa, inawezekana tuhuma nzito za uhujumu dhidi ya Kiziga si za kweli lakini kwa yale yaliyoibuliwa dhidi yake, Rais hakupaswa kumfanyia uteuzi huu. Kiziga ni genuine kiasi gani kuwazidi watanzania wengi, angeachana naye kulinda mwonekano wa serikali. Hii ni dharau
@JOH_MCI Utangazaji wa mpira kwa TV ni tofauti na redio. Mpenja anatangaza kama redioni, anakosea. Kwenye TV hatutegemei mtangazaji kwa vile tunaona wenyewe, hivyo kupata taarifa za mchezo na wachezaji ni sahihi zaidi