Kampuni ya Feedpro EMAx Limited inawashukuru wateja na wadau wetu kwa kutuunga mkono mwaka 2021. #bilakemikali#kulakwaanwani.
Tunawatakia Heri ya Mwaka Mpya wa 2022. Tumejipanga kuwahudumia vizuri zaidi Mwaka 2022. Endelea kutumia EM.1 #bilakemikali#kulakwaanwani.
Kituo cha Televisheni cha Hainan kuandaa kipindi maalum cha kutangaza bidhaa za Tanzania tarehe 5 Julai 2021. Bidhaa hizo ni pamoja na kahawa, Korosho, mvinyo &Tanzanite. Makubaliano hayo yamefanyika leo katika Mkutano wa Balozi @MbelwaK na timu ya Ufundi ya Hainan TV
Tumia EM kutunza mazingira ya mabanda au malalio ya nguruwe.Changanya EM na maji ya kusafisha kwa kiwango cha lita moja kwa lita 1,000 ya maji ya kuosha nguruwe. Unaweza pia kupulizia nguruwe kiwango cha lita 1 ya EM kwa lita 200-500 kila wiki.
Wasiliana nasi +255756446468
Chakula
1.Changanya Feedpro FeedBokashi kwenye chakula chako cha nguruwe unachotumia kwa kiwango cha kilo moja kwa kilo 100 za chakula.
2.Pulizia kwenye majani ya unayowapa nguruwe kwa kiwango cha lita moja ya EM, Lita moja ya Molasis na Lita 200 za maji ya kunywa.
Maji
Weka EM iliyoendelezwa kwa kipimo cha lita moja kwa lita mia tano za maji (1:500). Au unaweza kuweka mls 40 kwenye ndoo ya lita 20 za maji.
Weka EM dakika 5 mpaka 10 kabla wanyama hujawapa kunywa. Usiweke EM ukaacha maji wazi kwa masaa kadhaa au siku nzima. #bilakemikali
MATUMIZI YA EM.1®️ KWENYE UFUGAJI WA NGURUWE
Kuhusu EM.1®️
EM.1®️ ama Effective Microorganisms ni teknolojia ya vijidudu vidogovidogo ambayo kwa pamoja vina manufaa. EM.1®️ iligunduliwa nchini Japani miaka ya 1980 na inatumika nchi 110+ duniani. #bilakemikali#kulakwaanwani
Nguruwe ni wanyama ambao wana mfumo wa chakula tofauti na wanyama wengine kama ng’ombe. Cha muhimu ni kuzingatia mwongozo na taarifa za wataalamu katika kulisha wanyama hawa.
#bilakemikali