@Sisimizi3 Sawa kwani tatizo liko wapi hapo au ndo zile hoja zake zimejibiwa namna hii? Kwani kuna siku kitima alisema hajawahi kutenda dhambi? Hiyo ni dhambi kama zingine na pengine Mungu Kashamsamehe, una lingine?
“WAPINZANI WAKIFA SISI HATUWEZI KULIA TUTAWATUPA MTONI WAWE CHAKULA CHA MAMBA”…..!
Tusifike huku, huku ni mbali sana Ndg zangu, Tanzania ni ya watanzania wote ijengwe na watanzania wote…!
Tusibaguane kwa vyama wala kwa Dini zetu, Hii ni Nchi Nzuri tuliyopewa na Mungu Tuilinde, Tuipende, na Tuituze kwa manufaa mapana ya kizazi hiki na kizazi kichajo..!