@Cool_Ustaz@azgumel@Imamofpeace Actually he isn't even a muslim. He has already done the nullifier of Islam by wishing Merry Christmas implies that he has no Tawheed. Just ignore him
@mhdhamad Kaka samahani, Mtume S.A.W amekataza kufungamanisha matukio ya anga na vinavyofanana na hivo na matukio ya maisha. Hii inakinzana na uislamu. Kuamini hivo sio sahihi katika dini.
@Jambotv_ Hatujui kama alitubia au lah, Allah ndiye mjuzi. Lakini kazi zake zilikuwa ni ushirikina na ni miongoni mwa vitu vinavyotengua iman na uislamu
@abusumayyah_o Yeyote atakaye kufa ni Muislam ataingia peponi. Maana yake ni kwamba usipotengua uislam, yaani ukajiepusha na vitenguzi vya uislam utaingia peponi. Sio kila anayejiita ni Muislam basi ni Muislam lah.
@TheBritLad Muslim are referred as best of nations because Surah Al-Imran (3:110) states: “You because are the best community brought forth for mankind, enjoining what is right, forbidding what is wrong, and believing in Allah.”
@balkanathari @Sanothomas So Abraham prayed to the Father, Jesus and Holy Spirit (trinity).
Before Jesus was born what was the composition of God
When Jesus died on the cross was God complete or incomplete?