@tracytrachu Alafu TAMISEMI imegawanyika sehemu kuu mbili kuna TAMI na SEMI kwa hiyo kule ni SEMI (Serikali za Mitaa/Vijiji) aisee usiziunganishe tafadhali.
@tazamaMbali Nadhani project kama hii inapaswa kuwa endelevu migomba inazaliana yenyewe Kwa hiyo ukianza hata na ekari mbili ambazo unazimudu ukaendelea kuscale kadri unavyopata faida utafika tu kiwango Cha kutoa hiyo Mikungu 5000 lakini kutaka uzalishaji wa kiwango lazima ujipange haswa