NI KESHO High Court Mbeya Kesi ya Ndugu Mdude Mpaluka Nyagali.
Leo Jumapili tunaongozwa na Kifungu kutoka katika Kitabu cha Yohana 10:10
"Mwivi haji ila aibe na kuua na kuharibu; mimi nalikuja ili wapate uzima, kisha waupate tele."
Yesu alikuwa akijieleza kama mchungaji mwema, akijitofautisha huduma yake na kazi ya “mwivi” ambaye anawakilisha Shetani au viongozi wa uongo ,Viongozi wabaya ,watesaji,watekaji waliokuwa wakipotosha watu wa Mungu wakiwatwika mizigo mizito na masharti ambayo wao wenyewe hawakutekeleza.
Alijitofautisha na Viongozi Walioteka ,kuuwa kwa Kusingizia na kupoteza Watu.
We will.fight for you Brother..
Mungu yuko Upande wetu.
Hongera sana ndugu yangu CHARLES MAHERA kwa KUCHUKUA FOMU ili Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikupitshe UGOMBEE UBUNGE. Huu ni UTHIBITISHO kwamba TUME YA UCHAGUZI ni CCM.😂😂
📍Vwawa, Songwe
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Songwe Fanuel Mkisi, Leo Jumamosi tarehe 28 Juni, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kugombea Ubunge wa Jimbo la Vwawa.
Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu, Mkisi amesema leo ilikuwa ni siku ya yeye kuchukua na kurejesha fomu hivyo mambo mengine ni michakato ndani ya chama hivyo hawezi kuzungumza zaidi kwani hizi hatua za awali.
"Mengine haya kama nilivyozungumza yatafanywa na michakato ya ndani ya chama, chama kina vikao vyake vya ndani vya maamuzi kuanzia ngazi ya wilaya, mkoa na Taifa"-Fanuel Mkisi
#KemgongoMediaUPDATES
TUNDU LISSU Toka Awe Kwenye Ubora Wake Hajawahi Poteza Pambano Lolote
Aligombea UBUNGE Akashinda
Aligombea Urais Wa TLS Akashinda
Aligombea UENYEKITI Wa CDM Akashinda
Uchaguzi Ukiwa HURU Na HAKI Lissu Anawaangusha CCM Asubuhi Tu Tena Akiwa Huko Huko Gerezani.
Mpeni RT 200🤝
Hapa nchini kwetu upo uwezekano kabisa wa kufanya uchaguzi wa amani pekee na usiogubikwa na kasoro zozote, ili hiyo ikamilike unapendekeza ifuatavyo:
(i) Sheria ya Uchaguzi, Tume Huru ya Uchaguzi, Sheria ya Vyama vya Siasa na sheria ya Jeshi la Polisi ni sheria muhimu sana katika kujenga mfumo wa demokrasia na utoaji haki, hapa Tanzania sheria hizo zinalalamikiwa na jamii na taasisi mbalimbali, serikali kupitia 4R za Rais ilishughulikie kwa kiwango ambacho kitaridhiwa na makundi yote, wito wetu tunamuomba mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kukutana na wadau wanaowakilisha wananchi kujadili malalamiko yaliyopo kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu,
(ii) Pawekwe kanuni ya kikao mahsusi cha wadau kutathmini amani na mustakbali wa uchaguzi siku 30 kabla ya uchaguzi na kuheshimiwa makubaliano yake,
(iii)Tume ya uchaguzi isimamie mchakato kwa haki, watu wasinyimwe haki ya kuchagua na kuchaguliwa kwa makosa madogo madogo,
(iv) Tume ilinde haki za mgombe ikiwemo ya mawakala wake kupewa haki ya kuwepo kwa wakati na kushiriki katika kila hatua inayomhusu mgombea,
(v) Tume isimtangaze mgombea ambaye hakupata ridhaa ya wananchi,
(vi) Vyombo vya ulinzi na usalama vijifunze kwa matukio ya chaguzi zilizopita ili visilaumiwe kwa kusababisha uvunjifu wa sheria katika uchaguzi unaokuja wa Oktoba 2025" -Sheikh Ponda
"Aidha, katika mapendekezo haya ya siasa, tunatoa wito kwa Waislamu wote kushiriki uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Oktoba 2025, na kuchagua viongozi wenye sifa ya uadilifu, ujuzi na wenye historia ya kutumikia na kupigania maslahi ya umma, tunawakumbusha umuhimu wa kufanya mabadiliko makubwa katika uongozi wa ngazi mbalimbali kwa kuwa ndio kanuni ya uboreshaji wa maisha na kuleta maendeleo ya Taifa kwa ujumla, Mtume (SAW) anasema Muislamu mwenye akili timamu, haumwi na nyoka katika tundu moja mara mbili" -Sheikh Ponda
Ni sehemu ya yale aliyozungumza Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda wakati akitoa salamu za Baraza la Eid Adh-ha inayosherehekewa na Waislamu wote ulimwenguni leo, Jumamosi Juni 07.2025
Mnigeria kavurugwa
Msanii kutoka Nigeria Chella, ambaye ametua Tanzania kwa ajili ya Show yake ya Mwanza, the Rock City. Ashangazwa na kuuliza nini kinaendelea Tanzania, Baada ya Watanzania Ku-comment kwa wingi NO REFORM NO ELECTION kwenye post zake zote. Sikiliza anavyolalamika