"nilianza kuvuta sigara kwa sababu niliamini ni ujanja kuvuta sigara,
sigara ni addiction moja kubwa sana, huwezi kuacha kwa kuwambiwa, nilivuta hadi pakiti mbili kwa siku..." - @fidq_words
https://t.co/Hk5RjZ1IEY
“Rapper Gabacholi, inamuuma ushikaji sitaki..,
Huku Nyangema mbeba vyuma anajaribu kuwa 2 PAC.., Leo ndio ile kesho you WORRIED about yesterday.., Unataka kuwa the next NOTORIOUS cause BIG is DEAD!?” -#KilaSiku@FidQ#Preacher#Teacher#motivator#Edutainer
“Rapper Gabacholi, inamuuma ushikaji sitaki.., Huku Nyangema mbeba vyuma anajaribu kuwa 2 PAC.., Leo ndio ile kesho you WORRIED about yesterday.., Unataka kuwa the next NOTORIOUS cause BIG is DEAD!?” -#KilaSiku@FidQ#Preacher#Teacher#motivator#Edutainer
“Ukijituma na neema inakaribia.., Nyuma walio-give up mapema wangekaza wangeifikia.” -#Mafanikio@FidQ
ZINGATIA;
Mafanikio ni sawa na bidhaa ni lazima yapite kwenye mchakato.
This is #KitaaOLOJIA doing me any how now ...I'm sure tuko wengi ni vile tu wengine hawataki kukiri hali halisi...ila one day they'll admit the truth hata kama it won't be publicly kimoyomoyo inatosha coz "ile sauti uisikiayo kutoka moyoni ndio ukweli" ulisemaga @FidQ 🔥🙌🤣🤣🤣
Jamani mshindwe wenyewe kujipatia album ya @FidQ#KitaaOLOJIA kupitia link ya chaguo lako hapo chini....Trust me hamtajutia kuinunua bali kuchelewa kuinunua na kuisikiliza zawadi kutoka kwa T.O.R.E aliyopewa na #TajiriYangu 🔥🔥🔥🔥🔥 @fidq_words @FidQfanpage @fidQuotez
@ZaynSalma1 Kitendo cha mama kuniambika kaa chini hakafu mke anasema simama kinachofuata ni mke kwenda kuwasilimia wazazi wake kwa kipindi kisichojulikana.
Mitandao ya kijamii unaweza kuitumia kutangaza kazi zako, kuongeza kipato, kujifunza na kutengeneza mahusiano bora na watu lakini hapo hapo unaweza pia kuitumia kujivuruga kwenye kazi zako, kujiongezea upumbavu na kuharibu mahusiano yako na watu. Chaguo ni lako.
Sio #yaoming kwenye ring.. una mistari mingi zaidi ya zebra!!? 😳 / 😏Mxiieew.. unazingua nig/ haujajijua nig/ umeangukia pua.. bishoo hauwezi kuwa Jigga
Baada ya mazoezi muda huu nimekunywa maziwa ya @asasdairiesltd hapa nipo fresh kabisa... Na uhakika mpaka siku ya #TOTBonanza yataukwa yameniimarisha zaidi na kunifanya niwe bora uwanjani.. Unasubiri nini kunywa maziwa ya @asasdairiesltd sasa..💪