@Hillary_Gideon@BongeLaAfya Inatosha vizuri kabisa
Changamoto mtu kapanga chumba na Sebule. Kujenga chumba na sebule vya kwake anaona ni kitu cha aibu 🤔.
@rezam06@itzjacton Kuna tofauti ya SOLD OUT na FULLHOUSE hata kama capacity ya uwanja ni 60,000 ila kama zimetengenezwa tickets 30,000 zikanunuliwa zote ni SOLD OUT haijalishi uwanja haukujaa.
@HildaNewton21 Wangetumia bandari kuyapeleka wapi? Ikiwa soko kubwa lingekuwa kwa landlocked countries
Nafikiri Tz tusingefaidika kama sasa
Wangeuza mafuta safi sanasana tungeishia kuwa wateja kwao.
@MariaSTsehai Mafuta ni ya Uganda, Hata yakisafirishwa ghafi sisi tunaathirika vipi?
Kama tunapata mapato kwa kuwapitishia mafuta yao hasara iko wapi kwetu?
Kuhusu kupasuka/ kuvuja hilo linadhibitika.