@misslema2020@GillyBonnyTv Yangu kesho ,kumi na moja alfajiri na itakuwa ya watu sita tu(bwana harusi na shahidi wake,bi harusi na shahidi wake,babaangu mzazi na shekhe) hyo hata mashoga zangu hawajui
@SuluhuSamia Mama naomba unisaidie kuwasema hawa wamakunduchi angalau wapunguze uchawi ili tufanye biashara maana hawa jamaa wanawanga kutwa kucha kiasi kwamba biashara zinakufa,tusaidie mama na sisi tuwe kama paje au jambiani au kizi hawa wamakunduchi sina hamu nao jaman loh 🙌