@thatFAFOguy@swahilitimes Hapana haijakaa kitapeli ni basi tu nchi zinazoendelea kama ya kwetu wanaweka tozo nyingi hapo ndo mana tunaona miyeyusho, waliondelea wote hawatumii cash duniani, cashless ndo kitu bora zaidi kwenye uchumi
@ndhabhuche@MwalimAkidic@leonardfumakule@swahilitimes Nchi zote zilizoendelea hazitumii cash kwenye uchumi wake kwa sababu;
1. Ukitumia cashless ni rahisi kutrace hizo transactions na kufahamu kiwango sahihi cha uzalishaji ndani ya nchi pamoja na watu kulipa kodi sahihi.
2. Inazuia currency counterfeit- mambo za pesa bandia sambamba
@Thereal_Kabote@Kahiyuzi3 Gape la age likiwa kubwa sana pia ni shida wewe unaanza kuzeeka mwenzio bado kijana ndo utapoisikia, bora mzee pamoja, swala la kusikilizana halina vinasaba na umri