@_zack255@YerickoNyerereT Mngekuwa mpo serious kwenye kushikilia wizi wa rasilimali, utekaji, mauaji, Katiba mbovu, na uchafu mwingine unaoendelea kama mnavyosambaza hizi propaganda basi leo hii tungekuwa tunaipa misaada Marekani....mna-sabotage chama kikuu cha upinzani kwa faida ya nani?