Jiwekee mkakati wa kuamka mapema kila siku ALFAJIRI kisha:
1: Omba muda wa dk kadhaa
2: Soma Biblia sura zako 2
3: Kisha Mshukuru Mungu
4: Soma: Mchana sura 1 Usiku sura 2
Hakuna mtu mkuu tangu karne na karne aliyetaka kutawala ulimwengu wa roho akaruhusu kulala alfajiri.
Isingekuwa Rahisi Kufika Hapa,
Huu Hapa Ukweli Mchungu 25 NILIOJIFUNZA kwa Gharama Kubwa:
UZI.
#SIKU100ZAUHURU
1.Duniani hakuna cha bure.
2.Hakuna anayekuja kukusaidia.
3.Unalipwa kulingana na thamani yako.
4.Una option ya kuwa mzalishaji au mlaji.
5.Unakuwa kile unachofikiria. Uchaguzi ni wako.
6.Kila unapolalamika unamaanisha wewe ni mhanga.
7.Ukiona unaletewa fursa mezani, ujue wewe ndio fursa.
8.Muda ndio asset ghali zaidi duniani. Hufai kucheza nayo.
9.Hata uwe mzuri kiasi gani, lazima kuna mtu ata-hate tu.
10.Kama hakuna risk, hakuna mtonyo. Mtonyo, una njia zake.
11.Maisha sio fair, hayajawahi kuwa fair, na hayatawahi kuwa.
12.Tunapewa muda sawa. Namna unavyoutumia ni juu yako.
13.Usipotekeleza ahadi na malengo yako, unapoteza kujiamini.
14.Hakuna jambo jema linakuja kwa wepesi, jasho lazima livuje.
https://t.co/9ynSduHBdQ hufata attention. Chagua pa kupeleka attention yako.
16.Njia bora ya kukwepa disappointments ni kupunguza expectations.
17.Watu wengi unaowaita marafiki ni masinitch. Jifunze kutofautisha.
18.Daima watu watachagua namna ya kuku-judge, ufanye au usifanye.
19.Binadamu anaweza kubadilika wakati wowote, na hakuna kitu utafanya.
20.Bahati hutengenezwa. Huwezi kuokota dodo ukiwa maghetoni. Laizma utoke.
21.Usipokuwa makini dunaini watu watakugeuza kama chapati na kukutimia vibaya.
22.Unaogopa macho ya watu. Kumbuka hakuna atakayekuja kukulipia bills na chakula chako.
23.Afya ni matji. Ni ujinga kuipoteza ukiwa unatafuta ili uje uinunue ghali ukiwa kitandani.
24.Maisha ni magumu, na watu ni wakatili sana, usitegemee kila ubaya kulipwa kwa ubaya.
25.Moyo mwema ni tuzo. Mara 1000 uwe na true love, kuliko kukimbizana kanisani na msikitini huku ukiombea wenzako mabaya.
REPOST Iwafikie Wana!
#SIKU100ZAUHURU
Kujifunza zaidi:
Link: https://t.co/oDLpBYireS
YouTube: https://t.co/HRXUAiwCtR
#Tutoboewote
HATUA ZA KUFANYA MEDITATION (TAHAJUDI):
Kinachotakiwa wakati unajiandaa
Kufanya meditation ni kama ifuatavyo:
• Tafuta sehemu iliyotulia, isiyo na makelele, Kaa kwenye kiti au chini, au lala kitandani. Hakikisha huumii mahali popote, Legeza mwili wako pamoja na misuli yote..
.
NAMNA 07 WATU WA CHINI WANAVYOZIDI KUWA MASIKINI NA MATAJIRI KUWA MATAJIRI…
Nimejifunza haya kwa miaka zaidi ya 10.
Wewe utajifunza hapa ndani ya dakika 3 tu.
Repost Iwafikie Wengi!
1. Wamezaliwa kuwa walaji wa bidhaa na huduma na si wazalishaji. Hakuna tajiri ni mlaji. Matajiri ni mafundi wa kuiga uzalishaji. Unamuona Mo. Amekopi kila aina ya bidhaa kwa Bakhresa na bado anafanya vyema sokoni. Hata Bakhresa nae amekopi mengi tu kufika hapoa alipo. Jambo la msingi hapa ni kuwa-hakuna growth kubwa kama huzalishi. Ukwasi utausikia tu. Ukiutaka jifunze kuzalisha. Naam, Pesa inakuja kwenye mfumo zalishi na endelevu. Kila siku ni shule. letu ni moja tu. Kujifunza na kutekeleza.
2. Pesa ni chombo cha kuspend. Huu ni mtazamo wa kifukara. Hapa, pesa inatafutwa ili kununua gari, ili kujenga, ili kula vizuri, ili kuvaa pigo kali, ili kuonesha mtaani pesa iko. Kwa bahati mbaya, pesa inatakiwa itumike kuzalisha zaidi au kujizalisha zaidi. Pesa ni mtumishi mwaminifu. Muhimu kujifunze namna ya kumwendesha ili atuzalishie zaidi.
3. Komaa kusoma sana ili upate kazi nzuri: Mwishowe ni kuuza muda kwa pesa siku zote za maisha yako. Kwa bahati mbaya ukwasi unazalishwa kwenye mfumo endelevu. Ukwasi unazalishwa kwenye mafumo wa leverage. Siku ukiona unaingiza kipato hata usipokuwa kazini kwa mwezi mmoja. Ujue umeomoka.
4. Kula mara kwa mara. Kwanza, unajitia umasikini. Pili, inajitia magonjwa yasiyo lazima. Shida ni kuwa watu walidanganywa na kila mtu anaamini kwenye kula mara kwa mara ili kuishi. My friend tumia pesa zako vyema, inatosha kula mara 1 au 2 tu kwa siku. Acha kutumia rasilimali vibaya kwa kuharibu mwili wako. Kula vyema mara 2 tu. mara ya 3 ni anasa.
5. Kunywa soda na energy. Kwanza zinakufanya teja na unakuwa mtumwa wa makampuni makubwa. Kadri unavyokunywa energy ndio wanalisha zaidi kwa sababu wanajua sukari na hizo caffeine ni addcitive. Hivyo utapenda sana kunywa kila siku mara nyingi zaidi ilikuwa high. Nikwambie tu, kama unakunywa energy na soda wewe, ndie mtaji wa matajiri wakubwa. Na unawasaidia sana kukua wa kasi. Ahsante kwa niaba yao.
6. Kununua vitu na mali ili kuwaonesha watu. Akili za kifukara huwa zinawaza kununua vitu ghali ili kuwaonesha na kuwaringia watu. Wengi wanaamini kwa kuonekana wanakula vizuri au kuonekana na mavazi mazuri au kuendesha ndinga kali basi ndio kuwa na utajiri na watu kuona una pesa. Ina maana gani kuwa na gari zuri unalipaki mtaani ndio utembee kwenda unakoishi. Au ina maana gani kuwa na gari kali lakini mafuta yanakutesa kila siku. Wengi wapo kwenye utumwa wa kifikira wakiwaza kununua vitu ili kuonesha kuwa wana uwezo. Wanasahau kuwa pesa huwa haionekani wala haipigi kelele. Kile kinachoonekana sio pesa, mzigo wa ukwasi huwa haupige kelele wala kuonekana.
7. Kufata kile jamii inataka. Kuogopa kufanya yote ambayo jamii haijazoea kufanya. Kama kuna jambo ambalo linawafanya wengi watumwa wa maisha yao basi ni kukomaa kufata kile jamii inaona ni sahihi. Kusoma, kupata kazi nzuri, kupanda cheo na kusubiri kustaafu. Kula mara kwa mara ili usipate ulcers. Kula asubuhi na mapaema ili usipate ulcers. Kutumia dawa za meno za dukani. Kutumia mafuta ya mbegu. Kunywa soda na enrgy alimradi usizidishe kalori. Hizi ni swaga ambazo kila mtu anarithi kwa jamii yake. Ni wajibu wako mwenyewe kujikomboa na kujinasua na huu mtego wa macho ya kijamii.
Ili kujifunza zaidi:
Tukutane kwenye #SIKU100ZAUHURU
#INAWEZEKANA
Karibu kwenye Telegram yetu:
Link: https://t.co/oDLpBYireS
#SIKU100ZAUHURU
#TutoboeWote
Baada ya Erasto Msuya, kuuwawa kwa risasi 22 mnamo tarehe 7 August 2013, mambo hayakuwa tena sawa kwa familia aliyoiacha.
Hii ni baada ya kuibuka zogo kubwa ndani ya familia hiyo..
Zogo lililovutia udadisi wa wengi jijini Arusha.
ROHO YA KUSITA SITA NI ROHO YA UMASIKINI 🧠
Wakati mwingine unaweza kudhani umerogwa, kumbe wapi.
HAPA NAMZUNGUMZIA NANI?
✔️ Hawa ni wale wakitaka kufanya jambo, sauti inawaambia utafanya kesho.
✔️ Hawa ni wale ukipata fursa unaanza kupigia simu watu kupata social validation.
✔️ Hawa ni wale ukitaka kufanya jambo kuna KISAUTI ndani inakwambia acha, huwezi hii.
✔️ Unatafauta mishe kwa taabu, siku ukipata unaridhika kama vile sio wewe.
✔️ Hawa ni wale pesa ikiingia tu, akili ya utafutaji inapotea mpaka itakapoisha.
✔️ Hawa ni wale wakiona fursa, maneno yanakuwa mengi kuliko vitendo.
Kama unakiashiria tajwa hapo juu,
Soma na uchukue hatua kabla kujachelewa...
Bookmark na Repost Iwasadie Wengi 🫡
Mentor wangu Golden huwa anasema hivi:
“Watu wenye kila kitu huwa hawaogopi kupoteza walivyonavyo ili kupata zaidi, LAKINI
Watu wasionacho huwa wanaogopa zaidi hata kupoteza kitu wasiokuwa nacho”
Umeelewa nini?
Sikia tena hii….
Mafanikio yako ni sawa kabisa na uwezo wako wa kuchaukua risk… na...
Umasikini wako ni sawa kabisa na kiwango chako cha woga wa kuchukua risk.
Sijui kama umeipata hii.
Hakuna mafanikio bila kuchukua risk na kufanya maamuzi ya haraka.
Moja ya ujuzi adimu ni uwezo wa kufikiria jambo na kuchukua hatua za haraka.
Hapa ndipo umepoteza uwezo wa kufanikisha jambo.
Roho ya kusita sita ni roho ya ufukara.
Mafanikio yanahitaji uwezo wa kuona fursa na kufanya maamuzi ya haraka kuruka nayo.
Watu wengi wamepoteza nuru ya maisha kwa kushindwa kuchukua hatua.
Sikulaumu kwa kuwa kwenye hii hali.
Naelewa jamii imekutengeneza kuwa hivi.
KWANINI UNAKUWA HIVI?
Iko Hivi:
-Shule inakufundisha kuwa comfortable na maisha na kujiandaa kuwa mwajiriwa
-Jamii inakukumbusha kuwa huwezi kufanikiwa kuliko watangulizi wako
-Siku zote unapambana kuja kupata mtu akuajiri na uwe chini yake
-Kuajiriwa kila mtu anaweza, lakini sio kila mtu anaweza kuanzisha biashara yake
- Kuajiriwa hakuna risk, ndio maana kila mtu anataka.
- Biashara ni risk, nsio maana wachanche wanakomaa na kutoboa.
-Familia uliyokulia haina motivation ya wewe kuweza kufanya tofauti (Angalia Wahindi wanavyorithishana, angalia Wachaga na Wakinga wanavyofundishana biashara).
Hivi ndivyo 97% ya walimwengu wote walivyo.
Ni kuishi kwa kuunga unga.
Watu wanaishi bila kujua wanaelekea wapi.
Watu wanaishi bila malengo na mikakati.
Watu wanaishi bila kujua kusudi.
Na haya mambo yameingia ndani mpaka kwenye subconscious mind.
Utajiri ni roho, Ufukara pia ni roho.
Kama matendo yako ya kusaka maisha hayana haraka wala hayana muunganiko na risk ndani yake,
umasikini unapiga hodi na utakaa sana mlangoni mwako.
Pambana sana kuweza kubadili vile unavyochakata taarifa zako na kuchaukua maamuzi.
Badili mindset yako.
Ni vyema kufanya mind reprogramming ili kuhakikisha unapata nafasi na kuwa na uwezo bora wa kuwa na positive mindset.
Unapofikisha miaka 7 tayari unakuwa programmed kwa zaidi ya 95%.
Hizo 5% atabadili vitu vichache sana maishani.
Hapa ndo unakuta kuna watu ni wavivu, waoga, waongo, wanaojipendekeza, wanafiki, walalamikaji, wapenda vitonga, wasojiamini, wasoweza jitegemea n.k.
Hii inakutengenezea kitu tunaita: LIMITING BELIEFS...
(Kujifunza zaidi Kuhusu sub. mind na limiting beliefs ingia hapa https://t.co/12RMUUfLw3 )
Ndo maana kila ukitaka kufanya kitu cha maana unakuwa mzito sana ama unaogopa vibaya sana.
Yani kila ukitaka kujaribu,
kuna KISAUTI ndani kinakwambia,
"Wewe hutoshi, huwezi kushinda, utapoteza muda wako bure"
Na kweli, unatii, huchukui hatua.
Hizi ndo limiting beliefs zilizika mizizi kwenye Subconscious mind.
Haya mambo yapo deep ndani sana.
Ili kujisaidia anza KU-REPROGRAM Sub. Mind yako.
Ukifanikiwa utakuwa umejifungua vitanzi.
MIND REPROGRAMMING
Tumia mbinu hizi kuweza kubadili fikra zako:
- Mindful living
- Meditation
- Visualization
- Gratitude
- Affirmations
Naamini utaikata roho ya umasikini na kupanda roho ya mafanikio.
Kama Umependa Hii,
Jiunge na Community yetu Telegram:
https://t.co/oDLpBYireS
0754087177
#Jeshilam2m1
Ili kujenga tabia za mafanikio
Unahitaji mambo 4 tu:
1. Kuwa na kusudi - DIRA
2. Kuwa na malengo - RAMANI
3. Kuwa na Ratiba - SHERIA
4. Nidhamu - DINI
Ukiishi humo kutoboa ni suala la muda tu.
#TutoboeWoteAcademy
Je, una uhuru kweli au ufanya kile jamii imekwambia?
Kama unafanya yafuatayo:
HUNA uhuru binafsi-Unafata mkumbo wa kudunia:
1. Huna malengo
2. Unaangalia taarifa za habari kila siku
3. Haupitwi na series
4. Unaacha mambo yako kuangalia mpira
5. Ukiamka asubuhi unaanzia kwenye simu
6. Hujui kusudi lako la kuwepo duniani
7. Unakula breakfast
8. Unaishi kwa kufuata kilichopo mbele yako
9. Huna muda wa kukaa wewe peke yako
10. Hujui uwezo mkubwa wa akili yako
#jeshilam2m1
Watu Wengi Hawajui Namna ya Kuweka MALENGO na Kufikia Ndoto zao.
Miaka 5 iliyopita, nilifanya maamuzi magumu ya KUJIKOMBOA.
Na huu ndio MSINGI Uliobadili maisha yangu.
Hii ni RATIBA YANGU YA SIKU, ukiweza kuifata Utajikomboa pia.
Retweet Wengi Wajifunze 🙏
🧵
Simba SC 🆚 Al Ahly FC
The countdown to the African Football League quarter-finals is ON! ⏰
Available to stream FREE worldwide, excluding Tanzania, South Africa, and the UK.