SAD STORY β Hii picha ni mtu, ni mshikaji, ni rafiki, ni kaka, ni shujaa; ni mwana ambaye ndoto zake zilizimwa kwa risasi.
Ni Daniel aka Lissu wa Kitaa. Alipigwa risasi akafa akiwa Ubungo.
Hii tunaijua sote β au, kama hujui, fahamu huyu ni Daniel aka Lissu wa Kitaa.
π§΅π§΅
TAMISEMI imesema kuanzia Julai 2024 hadi Februari 2026 mikopo ya asilimia 10 ya jumla ya shilingi bilioni 118.03 imetolewa kwa vikundi vya vijana 8,165 vyenye wanachama 44,754.
Msije kusema sijawaambia, bila kumkubali Yesu kuwa Bwana na mokozi wako, huingii mbinguni, Usije kujifariji kwa ukubwa wa dini au dhehebu lako, shetani anaweza kuwasomba woote jehanam
Wala Mungu hatawakubali kwasababu ya wingi wenu, kwa Mungu hakuna wengi wape
Kuokoka ni lazima
Home, again! Mission complete. I hope we glorified God, humanity, our families and our terrific teams a @NASA and @csa_asc. Time to share the good news!
Mtu yupo Tandahimba anabonyeza kioo kilichopo mkononi mwake anaongea na mtu wa New York, anaona watu wanapandikiza viungo na wanaishi, watu wanatumia maji kuzalisha umeme unaowasha mitambo na kuendesha magari, halafu bado anabisha kusikia watu wanauzunguka Mwezi. Hii nchi daah π
These four astronauts are currently on a mission to fly around the Moonβand soon they'll break the record for how far humans have traveled from Earth!
Meet our Artemis II crew π
Moja ya Regrets ambazo wanazo Wazee wetu wenye 55+ years mtaani, ni kutonunua Ardhi nyakati ilikua cheap na walikua na uwezo huo.
Walikua wakiitiwa mashamba na viwanja wanaona mizaha, wanaona ni mapori, wanaona bado wana muda wa kufanya hivyo.
Ahadi Za Mungu Kuhusu Amani:
1: Amani wakati wa dhiki. (Yoh 16:33).
2: Yesu ni Bwana wa Amani. (2 The 3:16).
3: Anatuweka katika Amani yake. (Isa 26:3).
4: Yesu ametuachia Amani. (Yoh 14:27)
5: Mungu anatujaza Amani. (Rum 15:13).
6: Amani yake inatuhifadhi. (Flp 4:7).