Hi Watanzania, kwa sasa niko busy mnooo na jambo la msingi, very soon mtajua nilikuwa busy na kitu gani.
So kwa sasa I’m not focused kwa kudai haki huku kwenye social media, nipo busy napambana kiundani zaidi..:.:
Soon wote mtajua what was keeping me busy. And it will be great news to Tanzanians, GOD WILLING.
TAARIFA YA RATIBA YA MIKUTANO YA HADHARA YA MAKAMU MWENYEKITI BARA MH. JOHN HECHE NDANI YA MKOA WA MARA
1. Tarehe : 6/8/2026- SIRARI.
2. Tarehe: 7/8/2026 -SHIRATI
3. Tarehe: 8/8/2026- MUSOMA MJINI.
#KATIBAMPYA#FREETUNDULISSU
Mpaka sasa tumekusanya TSh. Milioni 273.1, na sasa tumebakiza TSh. Milioni 60.9 pekee kufikia lengo la TSh. Milioni 334 kwa ajili ya Baraza Kuu la Umma.
CHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Bodaboda wanaandama Dar es Salaam muda huu 12:30 Posta. Wanawapinga mgambo wanaokamata pikpiki maandamano yapo Posta Barabara ya Bibi titi.
BODABODA wamefunga barabara ya mwendokasi shughuli ZIMESIMAMA.
Simba imara hujengwa na timu imara.
Nilipata nafasi ya kukutana na baadhi ya wachezaji wapya walioungana na kikosi chetu. Nina imani wataongeza nguvu, ushindani na ari mpya kuelekea msimu ujao.
Kwa umoja, nidhamu na kazi kubwa, tutafikia malengo makubwa tuliyojiwekea na kuendelea kuijenga Simba tunayoitamani. 🦁❤️
#Simba #Nguvumoja
Huyu mzee amenifanya nimetokwa na machozi!
Sometimes the voice of courage comes from a frail old man who has the heart of a lion!
Huyu mzee anatuhimiza SOTE si @HecheJohn - tupiganie nchi!
Alafu kuna midume yenye vitambi na matako makubwa kuliko sisi wanawake wanawaza kuua na kuteka ndo wanaona ushujaa! Tukishajikomboa hii mianaume tutashughulika nao na watawajibika! Na huyo kijana anayebwia unga na kutoa amri kama vile nchi ya mamaake ndo kabisaaa!
Mzee huyu Mungu amtunze aje kuona Ukombozi wa Pili wa Taifa 🙏🏽
Sisi tupambane jamani hakuna kurudi nyuma - tumeshashinda sema mafedhuli wamekaza fuvu
#TutaelewanaTu
BADO TSH. MILIONI 74 PEKEE TUFIKISHE LENGO LA MILIONI 334! ✌️
CHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
DPP kapigwa PAIPU ya sheria huko kaacha NDALA.
Dunia nzima inajua LISSU sio muhaini. Tunajua mnajua nguvu yake akiwa huru ndio inawaumiza VICHWA.
Aliepewa kapewa, Lissu kapewa kupendwa na WATANZANIA hata mfanyaje hilo halijikubadilika.
MUACHIENI MZEE WETU.
REPOST 200