@Robertmagobe@ezzy_wix Uyo mtu anapo staff kwa sector binafsi ni asilimiangapi anaongezewa kwenye malipo yake kutoka nssf? Na kwa nini ichukue 15 yrs ndio awenauwezo wakukopesheka sababu kubwa ni nn? Je faida wanao pata nssf nisawa nafaida anayo pata mwana chama?
Maana mwanachama ndiye anafanyakazi
@Robertmagobe@ezzy_wix Akuna riba kwa nssf , mm nilitamani wawe nauwezo wakutukopesha sisi wachangiaji ili mtu anapush mambo yake na akiendelea kuchangia apo ote tunapata faida
@Balyx_ Hapo kuna vitu viwili
Kampini ya inje inajishughulisha nausambazaji kwakua inabrand kubwa
Muwekezaji wandani ananunua sehemu tu ya iyo brand nakufanya hizo product alizo nazo basi kwahiyo kampuni nying bongo zinajiendesha hivyo
@Therealngassa Ila umesahau kitu, aliye pata elimu ya theory ndiye kamfundisha uyo wa practical sas nakuuliza yupi nibora?
Heshimu position ya kila mtu
@Vitabu247 Kusoma nikupata mawazo ya watu wengine ila kutekeleza sio lazima , acha mtu asome ili awe namtazamo wake, ila ukimwambia asisome au akae mbali na vitu fulani niku mlimit uyo mtu kujua fikra za wengine