#ChatGPT imefikia Users million 100 toka ianzishwe
Leo nitakufunza michongo 100 online ambayo unaweza tumia ukiwa na ChatGPT.
Nina hakika huwezi kosa 10,000 tzs au zaidi kwa siku.
Unatakiwa kuwa na smartphone/ipad/tablet/PC na ujue kiingereza kidogo tu.
Shuka na huu UZI π§΅
MENO KUTOBOKA (DENTAL CAVITY )
Zifahamu Dalili, Sababu, wanao Adhirika zaidi, na Hatua zakufwata kuzuia meno kutoboka.
Uziπ§΅
Retweetπ LAKEπ Torn on notificationπ.
π
MATUKIO KATIKA PICHA- SIKU YA 01:
Maafisa wa Mradi wa VIUNGO wakitoa maelezo kwa wananchi waliofika kwenye banda letu la maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyozinduliwa leo kisiwani Pemba na Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman. @EUinTZ@FAOTanzania