Mtayarishaji wa maudhui ya safari (Travel Content Creator) kutoka China, Xiao Jony, akiwa katika soko moja nchini Nigeria, alikuwa akijaribu baadhi ya vyakula wakati wanaume waliokuwa katika eneo hilo walimsimamisha na kumtaka awalipe fedha.
Alipowauliza sababu ya kutakiwa kutoa fedha hizo, walimjibu kwa kifupi kwamba: โSisi ni raia wa Nigeria, wewe si raia wa Nigeria, kwa hiyo tuna haki ya kuchukua fedha kutoka kwako.โ
Katika safari yake, Xiao pia alisema kuwa ndani ya umbali wa kilomita 10 pekee, alipita katika vituo vya ukaguzi zaidi ya 20, ambapo kila kituo kilimtaka kutoa fedha.
Mwisho wa safari hiyo, Xiao alielezea uzoefu wake na aliyopitia nchini Nigeria kwa maneno mafupi tu lakini makali: โUsije Nigeria.โ
MY TAKE:
Kuna Wanaigeria zaidi ya 100 wanafanya content creation kule China, Na wachina huwa hawawabagui wale watu.
Juzi kuna Mtanzania alihojiwa Norway, Akasema TANZANIA kuna ubaguzi kuliko Norway, Ubaguzi si rangi tu, hata kupandiaha bei ya bidhaa unapoona Mgeni ni ubaguzi.
Mange Kimambi just sued Meta, and she should.
She used Facebook, Instagram, and WhatsApp to show what Dictator Samia Suluhu s government did not want the world to see: killings, disappearances, and a stolen election. Millions were watching. Then the accounts vanished.
Meta calls it policy. She says the government asked, and Meta obeyed.
I believe her because we have lived a quieter version of the same thing.
Our pages have been restricted for nothing. One is no longer being distributed at all. Others would disappear for two days and then reappear with no explanation and no chance to appeal. It happened whenever we exposed what the Ruto government wanted hidden.
This is the pattern: When a government cannot reach you, it leans on Meta. Meta folds. The critic is silenced. The next video of a raid, a body, or a lie has nowhere to go.
Mange is taking them to court. Stand with her.
Meta should restore every account it killed to please a government, and stop doing the dirty work of regimes that fear their own people.
Ruto & Samia Suluhu should never win over freedom of speech.
my daughter, amayra, turned one year old today. please join me and my family in wishing her a very happy birthday. baby amayra, as her brothers assad and anwar call her, means the world to me, and i thank my wife, and her lovely mother, @zahratunda, for her โค๏ธ:
Msikilize kwa makini mzee ISSA SHIVJ.
Hawa ndio wazee wa hili taifa-sio yule alikuwa anakatia nyasi ng'ombe za nyerere (HOUSE BOY BUTIKU).
MUNGU akutunze mzee uishi miaka mingi mpaka tutakapokomboa hii nchi ufurahie ulichokipigania.