Bara la Afrika linatoa ushuhuda mkubwa kwa ulimwengu mzima. Asante kwa kuishi imani yenu katika Yesu Kristo. Ni jinsi gani ilivyo muhimu kwamba kila mbatizwa ajisikie kuitwa na Mungu kuwa ishara ya matumaini katika Ulimwengu wa leo.
@Kabuz_worldwide@fumbokhanJr Swali la msingi hujajibu,umelipita kam unaaga maiti ๐
Mbna unatoa maoni kwny mambo hayo ya ksenge? ๐
Ko na wew n mseng*?๐ข
@623de4f5f8f048e@EduTalkTz Hamna sehem jamaa ameendika kwmba kila ktu dunian kilitokea kam mzuka, ni upumbav mkubwa kumsemea mtu vitu ambavyo ajiandika ,though you can have ur opinions
@incredib0y@BlessedThomist@EduTalkTz My dearest brother,we are never on our own ๐
God exists, make peace with your creator and normalize talking to Him, God loves us more than our mothers and fathers,again normalize talking to Him, He will take care of your affairs ๐
@GeorgeMwiga3@EduTalkTz Nafikir Mungu afaidiki n chochote kwa kumuumba mwanadamu na wala hatumuongezei chochote tukiacha kumsifu na kumtumikia, Kwa kumuumba Mwanadamu, ni Upendo na huruma ya Mungu kwa Mwanadamu akiwa na nia ya kumpa mwanadamu zawadi kushiriki Umungu wake.
@GeorgeMwiga3@EduTalkTz Bro umetoa maelezo mazur ambayo hayana uhusiano n swali langu ๐, swali n Mungu anapata faida gan kumuumba mwanadam?,, hilo nd swali!
@GeorgeMwiga3@EduTalkTz What's your logic there? Yan ni relate faida anazopat binadam kw kuzaa watot, Kwamb zitaendan n faida anazopat mungu kw kumuumba mwanadam?, George Hilo swal n gumu sana kulijibu kam huna knowledge ya kutosha apo