@HopeQuotes__@chiefodemba Ogopa sana technologia Odemba unatisha Yani unauliza huyu mtu unamfahamu? Yani umeogopa tv isije ikazima akakukana sio yeye πππ
@JMariotz Mimi naona yanga ishushwe daraja ili championship ikavutie watu wengi na kufuatililiwa pia maana italeta mvuto kule na isipande hadi karia na board yake waondoke madarakani
@DedanWangwe Ila chadema ni hatari sana kwanini mnapiga pin π namna hii hamcheki na nyani ahahahahaha hii Kali sisi tunasubiri press ya g55 au ndio imeisha