@nyuki_malkia serikari yetu sjui inawazaga nini sjui kikiii sasa wafanye kazi gani..? ajira amna wafungeni sasa mjaze magereza sifa tu nyokoo ๐eti kinyume cha sheria gani yamwaka gani tuoneshwe iyo sheria katika kifungu gani..dah bongo bana
@millardayo hii taarifa imekufikia ila mkopo sasa kukufikia ndio bas tena vijan tuna shda saana alfu unakuta kuna machawa wanaongea ovyo mpka mishipa inawasimma sjui wana hisi laki wanazo ongwa zina maliza mwaka.? aya bna me sina chama lakn
@DayorFd @Bintikisirani0 @abasi_nasri @_yourBoyli4 @Bigger_87 bro haya saiidi aya mabima wanapiga porojo tu wanapiga pesa hawaniwezi juzi kuna mselea kafia hospitali tulipo toa bima wakawa wanazunguka hawatuelew wanataka kashi