RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameunda Tume Huru ya kufanya uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea nchini wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba, 2025 ambapo amemteua Jaji Mkuu Mstaafu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman kuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo.
Rais Samia ameunda tume hiyo kwa mamlaka aliyonayo chini ya kifungu cha 3 cha Sheria ya Tume za Uchunguzi, Sura ya 32 ambapo pia amewateua wajumbe saba wa tume hiyo akiwemo, Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma, Jaji Mkuu Mstaafu wa Mahakama ya Tanzania na Balozi Ombeni Yohana Sefue Kiongozi Mstaafu; Mwanadiplomasia na Katibu Mkuu.
Taarifa ya leo Novemba 18, 2025 iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses M. Kusiluka imeeleza kuwa wajumbe wengine ni pamoja na Balozi Radhia Msuya - Mwanadiplomasia na Balozi Mstaafu; Balozi Lt. Gen. Paul Meela ambaye ni Mwanadiplomasia na Balozi Mstaafu; IGP (Mstaafu) Said Ally Mwema Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Mstaafu; Balozi David Kapya - Mwanadiplomasia na Balozi Mstaafu; na Dkt. Stergomena Lawrence Tax ambaye aliwahi kuwa Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
#KitengeUpdates
𝐃𝐏 𝐖𝐨𝐫𝐥𝐝 𝐈𝐥𝐢𝐯𝐲𝐨𝐳𝐢𝐦𝐚 𝐝𝐢𝐥𝐢 𝐜𝐡𝐚𝐟𝐮 𝐳𝐚 𝐓𝐄𝐂 𝐁𝐚𝐧𝐝𝐚𝐫𝐢 𝐲𝐚 𝐃𝐚𝐫, 𝐧𝐚 𝐡𝐮𝐨 𝐮𝐤𝐚𝐰𝐚 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐳𝐨 𝐰𝐚 𝐜𝐡𝐮𝐤𝐢.
Tanga mwaka 1957, TEC imekuwa ikiishi kwenye kivuli cha nguvu na heshima. Machoni pa umma, ni taasisi ya kiroho inayohubiri maadili na utulivu wa taifa.
Lakini ndani ya kuta zake zenye utulivu, kulijengwa mfumo wa siri uliounganisha dini, biashara, na siasa, mfmo uliotengeneza mabilioni chini ya kivuli cha sadaka na misaada.
Mwaka 2022, serikali ilipoanza mazungumzo na kampuni ya kimataifa ya usafirishaji ya DP World kwa ajili ya kuendesha Bandari ya Dar es Salaam, TEC iliona tishio lisiloelezeka.
Kwa muda mrefu, bandari hiyo ilikuwa kitovu cha biashara zake zisizo rasmi, makontena yaliyosafiri chini ya majina ya taasisi za dini, yakiwa yamejaa “vifaa vya misaada” vilivyopokea msamaha wa kodi.
Lakini ndani yake kulikuwa bidhaa zenye thamani kubwa, dawa za kulevya, vifaa vya kielektroniki vya magendo, na hata fedha taslimu zilizotoka kwenye mitandao ya kifedha ya kimataifa.
Mfumo wa TEC ulikuwa umejikita ndani ya serikali katika vitengo vingi vyeti kwa lengo tu la kusaidia harakati na michongo ya TEC. Wafanyakazi wa umma waliokuwa washirika walihudhuria ibada za kifahari, walibarikiwa hadharani, nyuma ya pazia wakiwa walinzi wa maslahi ya mtandao huo wakinyonyaji.
Mikataba ya ujenzi, usafirishaji, na forodha ilipangwa kupitia “miradi ya kijamii” ya TEC, huku ripoti za ukaguzi zikiwa haziyaoni haya yote.
Kuibuka kwa DP World kulikuwa kama kengele ya hatari. Kampuni hiyo iliahidi mfumo wa kisasa wa kidigitali wa kufuatilia mizigo, teknolojia ambayo ingeweka kila shehena wazi kwa mamlaka za kimataifa.
Kwa TEC, hili halikuwa jambo dogo, lilikuwa tishio kwa mfumo mzima uliowajengea nguvu na utajiri kwa miongo kadhaa.
Lakini wakati upepo wa mabadiliko ukivuma, Rais Samia Suluhu Hassan aliingia madarakani akiwa na maono mapya. Alisisitiza uwazi, ufanisi, na mageuzi ya sekta ya bandari ili Tanzania iwe kitovu cha biashara cha Afrika Mashariki.
Wakati wengi waliona hatua hiyo kama mapinduzi ya kiuchumi, kwa baadhi ya watu ndani ya TEC, ilikuwa ni vita.
Vita vya waziwazi dhidi ya serikali ya Rais Samia Suluhu vikaanza, mimbari zikaanza kuhubiri kuhusu “uhuru wa kiuchumi” na “ulinzi wa rasilimali za taifa,” huku nyuma ya pazia barua zikipelekwa kwa viongozi wa serikali, zikishinikiza kuahirishwa kwa makubaliano ya DP World.
Wengine wanasema hata baadhi ya wanasiasa waliokuwa na uhusiano wa karibu na TEC walitumia uzito wao ndani ya bunge kupinga mkataba huo kwa hoja za kizalendo, ilhali nia halisi ilikuwa kulinda mtandao wa siri.
Hata hivyo, chini ya uongozi thabiti wa Rais Samia, serikali haikurudi nyuma. Mabadiliko ya kidigitali yaliendelea kutekelezwa, na mifumo ya kidhibiti mizigo ikawekwa, hatua iliyofichua mambo mengi yaliyokuwa yakifichwa kwa jina la dini. TEC ilitetemeka.
Na huu ndio ulikuwa mwanzo wa chuki kati ya TEC na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Mabadiliko yaliyokuwa yakiletwa kupitia mageuzi ya bandari yalitikisa mizizi ya mtandao uliokuwa umezoea kufanya kazi gizani kwa miaka mingi.
Kampuni nyingi zilizo chini ya mwavuli wa taasisi hiyo ya kidini zilianza kupoteza vibali, akaunti zikagandishwa, na washirika wao serikalini wakaanza kuogopa kivuli chao wenyewe.
Kama ilivyokuwa kwa nguvu yoyote inayokataa kuondoka, TEC ilianza kutumia silaha yake kuu ya ushawishi, waraka baada ya waraka kila siku zilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii na kwenye majukwaa ya yao ya dini, baadhi yakihubiri “uhuru wa taifa,” mengine yakilalamikia “udikteta .”
Kila sentensi ilikuwa na lengo moja, kugeuza imani kuwa kivuli cha upinzani.
Ndani ya kumbi za siri, mikutano ilifanyika kati ya maafisa wa serikalini wenye maslahi na TEC, wakijadili njia za kuvujisha taarifa, kudhoofisha kazi za serikali, na kuibua taharuki.
Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, iliyoamini katika uwazi na mageuzi, haikuogopa. TEC ikaona wazi zama zao za ushawishi zimeanza kufika ukomo, na hapa ndipo chuki ikazaliwa kwa kiwango kikubwa sana.
Kila mvutano, kila taharuki unayoiona leo, ni matokeo ya mnyororo ulioanza tangu mwaka 2022, pale mazungumzo ya DP World (DPW) yalipoanza rasmi. Ilikuwa ni kipindi ambacho TEC imezoea kuendesha mambo kinyume na sheria, baada ya kuona mabadiliko yakija kwa kasi kama kwenye teknolojia hasa ukaguzi wa kidigitali na uwazi wa kifedha, kwa TEC, huu ulikuwa mwanzo wa mwisho wao.
Hali ilizidi kuwa mbaya zaidi mwaka 2025, baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumchagua tena Rais Samia Suluhu Hassan kama mgombea wao wa urais. Ndipo hofu ikazidi kushika mizizI.
Waliamini kwamba, endapo angeendelea kuongoza, wangekuwa na hali mbaya zaidi, kwani wao tayari wana mtu wao waliyetegemea angeingia mwaka 2025, hii iliwauma sana.
Hizi vurugu zote na machafuko yaliyotokea na ambayo yanaendelea kupangwa muda huu, hayana uhusiano wowote na ukombozi wa nchi, uhuru, ulinzi wa rasilimali za Tanzania wala kupinga rushwa na utekaji, bali ni azma ya Kanisa Katoliki chini ya TEC kumuondoa madarakani Rais Samia Suluhu ili waweze kutimiza malengo yao ya wizi na ufisadi chini ya mwamvuli wa dini.
@Twaha_Mwaipaya Nakukumbusha kwamba wewe mwenyewe ulihamasisha sana zile fujo, ilhali ukijua kuwa katika fujo hizo wapo watu ambao wangepata shida—hasa watoto na akina mama wasiokuwa na hatia. Unataka kusema hukujua hilo kabla?
@John_Pambalu@grok Kama unajua haki mbona amukuidhamini haki ya wapiga kura alafu muandamane siku nyinge, au wao awana haki ila nyie munahaki zaidi yao?